Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
Huwa nakosea katika maisha yangu siku hadi siku..
Katika kauli zangu kuna uongo
nimeleta aibu machoni pako
nisamehe Mungu mwenye rehema
Hata na hizi pesa nilizonazo ila kuna nyakati nachoka
kuna nyakati nashindwa
Mimi ni mtu tu...
Katika kauli zangu kuna uongo
nimeleta aibu machoni pako
nisamehe Mungu mwenye rehema
Hata na hizi pesa nilizonazo ila kuna nyakati nachoka
kuna nyakati nashindwa
Mimi ni mtu tu...