Kuna wabunge 'wanavaa kombati bungeni' - wapime wenyewe

Kuna wabunge 'wanavaa kombati bungeni' - wapime wenyewe

Ndugu wana JF, leo jioni kabla Naibu Spika Job Ndungai hajahairisha shughuli za bunge hadi kesho asubuhi amesema wabunge kadhaa wamemwandikia vikaratasi wakimwuliza kuhusu vazi la wabunge wanapokuwa bungeni na akasema kuna wengine wanavaa kombati. Aliwasomea kanuni fulani kuhusu vazi linalovaliwa bungeni na akawaomba wabunge wote wasome hiyo kanuni na wapime wenyewe na wasisubiri kutolewa nje.

Maswali:
1. Wabunge hao wanaovaa kombati bungeni ni za jeshi gani?
2. Kama wanavaa kombati, ni leo tu wamezivaa au ni leo tu kuvaa kwao kumekiuka kanuni za bunge?
3. Huku siyo kwenda mbali na pengine nia yake si njema?
hila za ccm ni pembe la ng`ombe, alifichiki, kila wanalofanya linakuwa adharani na linawapunguzia kura
 
Umesoma shule kweli wewe!rudi shule kasome mashart ya mavaz ya bungen na cha ziada alichosema naibu spika ni italeta picha mbaya kama ccm nao wataamua kuvaa za kijani maana ziponje ww ungekua naibu spika na bungeni hakuna udini je ungekubali kombati zitumike kwa kila mtu na ya chama chake maana sio tunaongea tuuuuuu!!!

1. Mimi sijasoma shule.
2. Ila kama wewe umesoma inawezekana umeibia mitihani kama ulifaulu.
3. Maandishi yako yananuka kitu mbaya!
 
Maccm yanaona wivu na magwanda ya chadema yanawanyima usingizi, mpaka wameiga wana migwanda ya kijani, yaani niiiona mirangi mibaya ya ccm green and yellow naona kama nimemuona iZiraeli mtoa roho za watu.mirangi ya ccm inachefua kama nini ptuuuuu! Nasikia kutapika!
 
Wakuu hebu nipe ufafanuzi wa jambo hili: Tunapo sema hili ni vazi la kijeshi/combat tuna maana gani?
 
Back
Top Bottom