Mbona wengi tu huwa huwaoni, Halima, Nasari. Lema n.kNitajie ni mbunge gani wa chadema aliyewa kuvaa kombati ya chama bungeni.... najitoa leo humu ndani.
Ni mwanzo mzuri, ukionana hadi vazi lako nalo nitishio kwa adui zako yakupasa usimame na kum2kuza Mungu.Hii ni dalili tosha kua adui ameishiwa mbinu na hana majawabu tena....Yawezekana hawana uweredi wa kuchangamana na watu wenye hisia changamfu ,kwa hatua yao tu yakuona sasa mavazi ya aina fulani ni tatizo kuliko tatizo lenyewe na kuzalisha mafungu ya maswali_1_ Vazi hili linamuda gani tangu lianze kutumika humo? _2_ kwanini vazi hili lionekane tatizo kwa sasa na sio kabla? _3_ yawezekana kiti hakina uelewa wakutosha na mambo ya sheria (kanuni za Bunge)? _3_ Ni madhara kiasi gani tume sababishiwa na kiti kutokana na udhaifu huo?_4_ Je Bunge letu linamuda waktosha kujadili hata visivyo na tija kwa taifa? Kwa mbaali naanza kuuona upepo wa mabadiliko ukiezua paa ya miungu watu.
Laiti kama kuvaa suti kungekuwa ndiyo identity ya kuonesha hekima na uwezo wa kujenga hoja, basi CCM ingetawala milele.Jadilini hoja sio mavazi, mbona Serukamba alitamka F..... Akiwa na vazi la suti.?
Tatizo hayo magwanda yao hawafui matokeo yake yananuka sana kiasi cha kuhatarisha usalama wa afya wa wabunge wengine bungeni
Wabunge wanavaa MISALABA mikubwa na na HIJABU gubwigubwi, Mwigulu anavaa Scarf za chama chake. Yote hayo Spika anakaa kimya. CDM wanavaa kaunda suti ambayo hata Nyerere alivaa (Tazama picha za Azimio la Arusha). CDM wanamuenzi Nyerere. Spika aliulize Bunge la Uturuki lililowatimua wavaa hijabu.
Nyoka amelala unaitafutia nini miguu yake we Spika????
Wabunge wanavaa MISALABA mikubwa na na HIJABU gubwigubwi, Mwigulu anavaa Scarf za chama chake. Yote hayo Spika anakaa kimya. CDM wanavaa kaunda suti ambayo hata Nyerere alivaa (Tazama picha za Azimio la Arusha). CDM wanamuenzi Nyerere. Spika aliulize Bunge la Uturuki lililowatimua wavaa hijabu.
Nyoka amelala unaitafutia nini miguu yake we Spika????
Itakuwaje kama na mimi nitaanzisha Chama changu na mavazi rasmi ya chama changu yawe Suti, kaunda suti au shati-tai. Mavazi ambayoI am trying to imagine kama baadhi ya wabunge wa CCM wataamua kuingia bungeni na mashati ya kijani na suruali nyeusi. I mean sare ya CCM! Sijui wataonekanaje? Naamini kitakuwa ni kituko. Similarly, nadhani si vibaya kwa CHADEMA nao kuamua kuvaa mavazi ambayo hayana identity ya vyama vyao japo bungeni wanawakilisha vyama vyao.
Ha ha haaa!!!mkuu nimecheka kweli,huo ndio mwisho wa uwezo wa kufikiri wa Watawala wa nchi hii.