Kuna vivutio gani mkoa wa Mara?

Hahahaa nimecheka balaa, mkuu kwakuwa bado una wiki moja vuta subira machimbo ya pisi kali utayajua tu.

Kwa sasa unaweza enda Gold Land Hotel hii ipo Nyamongo road upande wa kulia kama unaelekea wilaya ya Nyamwaga. Ama ulizia wenyeji watakufahamisha kwa urahisi zaidi, hapo unaweza kutana na pisi kali za kutoka mikoa mingine tofauti na hapo.

Pia kuna Restaurant moja jina limenitoka ila ipo mkabala na benki ya NMB pale kulikuwa na wahudu pisi sana sijajua kwa sasa jaribu kutembelea uone, jengo hilo hilo kuna Barber Shop hapo pia kuna pisi huwa zinatoka Mwanza kuja kutoa huduma hapo.

Mkuu kama wikiendi unakuwa huru unaweza enda ata huko mpakani Sirari ama ukaingia ata Kenya kwenyewe ukaenda mpaka Migori ama Kisii huko.

Hahahaaaa hakuna kitu bro. Nimekutana na pisi mbovu sijawahi pata kuona maisha yangu yote TZ nzima
 
Kuna mtu anagawa majiko ya gas
 

Kuwa na amani nenda kafanye kazi
Kikubwa usilete ujuaji na dharau kwa watu wa huko.
Ishi kiungwana tu uachane na majungu mtaenda nao sawa
 
Kuwa na amani nenda kafanye kazi
Kikubwa usilete ujuaji na dharau kwa watu wa huko.
Ishi kiungwana tu uachane na majungu mtaenda nao sawa
Hiyo ipo sehem yoyote. Ukijifanya much know unapotea
 
Mkuu nahisi kumebadilika tofauti na ulivyotembelea ulivyofika. Nimefanya skimming ya fasta fasta kona zote pisi za kuvutia hakuna boss wangu. Hapa nimeshaji-tune kisaikolojia, ntakua weekend nikipata nafasi naenda kutalii Mwanza town maana ni safari ya masaa matatu mpaka manne tu kutoka huku [emoji3][emoji3] ofcuz na wazo la kutalii mpakani huko sio baya ntalizingatia kabisa hilo
 
Kwahyo mpka sasa hujapiga tu
 
Naomb connection ya volunteer apo ngo
 
Naomb connection ya volunteer apo ngo
Oh upo maeneo ya karibu na Tarime? Currently there are two vacant positions kwa kada ya afya. Sijui upo kada ipi? Or you can just PM nijue nakuwekaje hapa...
 
Tatizo wanakuaga sio wagumba mzee [emoji3]
Kuwa makini sana na watu wa mara haswa wanawake wao sio wazaramo wa kelele lakini ukiingia anga zao vyovyote vile watakushughulikia hua awaongei ni vitendo tu wakikuendea kwa wajaluo utaend kigoma kutafuta suluhisho sikutishi but nakupa hint za watu wangu wa mara
 
Hahahaaa niko makini mzee ktk hilo.. Sigusi mtoto wa mtu huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…