GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,584
- 127,934
Vivutio Vikuu ni kama vifuatavyo....Naomba nipewe maelekezo na wazoefu wa huo mkoa. Kuna mission hivi karibuni naenda kuifanya huko itanichukua miaka miwili nikipambana na hizo projects hasa wilayani Tarime.
Bahati mbaya story pekee nazozipata kuhusu huo mkoa ni ukorofi, ubabe na kupigana mapanga. Anaejua vivutio vyovyote vya huko, sehemu za bata n.k anipe muongozo.
Uzi tayari.
Sent from simu ya kuazima
Yani bora umenisahihisha maan kuna muda hua nachapia hadi aibuGrocery sio glossary mkuu dah.
Hakuna Jiji hatari hapa Africa kuishi kama Johannesburg, lakini kila siku watu wanaingia na kuishi na wanakula bata kwa kwenda mbele.Route zangu ni kazini na nyumbani. Hapo kutokujionyesha kama nina pesa ndio vipi? Nisiwe nakula na kuvaa vizuri? Nisimiliki gari nzuri ama?
Sent from simu ya kuazima
Hiyo ni musoma tupe vya tarimeKuna tembo beach kuna mati villa beach
Safi tuu
Jiandae tu kupambana na hizo story unazozisikia coz lisemwalo lipo ! Sehemu za bata utakutana nazo ukishafika hukohuko[emoji3]Naomba nipewe maelekezo na wazoefu wa huo mkoa. Kuna mission hivi karibuni naenda kuifanya huko itanichukua miaka miwili nikipambana na hizo projects hasa wilayani Tarime.
Bahati mbaya story pekee nazozipata kuhusu huo mkoa ni ukorofi, ubabe na kupigana mapanga. Anaejua vivutio vyovyote vya huko, sehemu za bata n.k anipe muongozo.
Uzi tayari.
Sent from simu ya kuazima
Hapo ni musoma mjini yeye anaulizia kuhusu TarimeKuna tembo beach kuna mati villa beach
Safi tuu
Punguza upumbavu wakuria ni baba zako!!!vivutio vya mkoa wa Mara :-
1. Mto Mara wenye vinyesi vya ng’ombe
2.wakurya ni weusi na sura kali
3. Kuna mgodi wa dhahabu umezingushiwa ukuta mkubwa ila wakurya wanauruka kuingia mgodini.
5. Kuna Butiama eneo lisilokuwa tangu 1961
6. Kuna wanawake wengi walio keketwa
Nimekupata boss, vipi kuhusu unafuu wa maisha lakini hasa kwenye misosi?Tarime sio lelemama ndio maana hata kipolisi imefanya ni kanda maalumu kwamba ni wilaya ambayo kipolisi inasimamiwa kama mkoa ina RPC.
Kimsingi ukiwa huko acha mbwembwe hususani mambo ya bata za mitaani
Kafanye yaliyokupeleka huko epuka sana kutembea usiku.
Nakishauri tafuta TV na movies za kutosha bata fanyia nyumbani kwako.
Halafu epuka sana wake za watu ,mademu wa watu na wanafunzi lasivyo hawatachelewa kukugecha watu wa huko hawana masikhara kabisa.
Ukifata ushauri wangu utarudi salama na utarudi na pesa. Huko Tarime hata Musoma hakuna starehe yeyote
Ukitaka starehe uwe unakwenda Mwanza Mjini
Daaah hiyo statement yako ya mwisho imenivunja moyo mkuu. Ila sio kesiTarime wala hakuna ugomvi wala chochote, vitu mnavovisikia ni vya jumla kama vile wanasema wahaya malaya wakati sio. Tarime matukio mabaya ni machache kuliko dar hata wizi hakuna. Ubaya wa tarime hakuna lami na ni pachafu sana
nadhani umemaliza,especially nyamongoYani ukienda usipende kukaa sehem za mabaa au glossary, usishoboke na mwanamke yyte utaekutana nae.. Tumia muda wako kazini na nyumbani, usiingilie ugomvi wowote ule....... Usijionyeshe kua unapesa..... Tofauti na hvo utarudi mkoani kwako ukiwa na ngeo au hauna mkono