Yani ukienda usipende kukaa sehem za mabaa au glossary, usishoboke na mwanamke yyte utaekutana nae.. Tumia muda wako kazini na nyumbani, usiingilie ugomvi wowote ule....... Usijionyeshe kua unapesa..... Tofauti na hvo utarudi mkoani kwako ukiwa na ngeo au hauna mkonoNaomba nipewe maelekezo na wazoefu wa huo mkoa. Kuna mission hivi karibuni naenda kuifanya huko itanichukua miaka miwili nikipambana na hizo projects hasa wilayani Tarime.
Bahati mbaya story pekee nazozipata kuhusu huo mkoa ni ukorofi, ubabe na kupigana mapanga. Anaejua vivutio vyovyote vya huko, sehem za bata n.k anipe muongozo.
Uzi tayari.
Sent from simu ya kuazima
Route zangu ni kazini na nyumbani. Hapo kutokujionyesha kama nina pesa ndio vipi? Nisiwe nakula na kuvaa vizuri? Nisimiliki gari nzuri ama?Yani ukienda usipende kukaa sehem za mabaa au glossary, usishoboke na mwanamke yyte utaekutana nae.. Tumia muda wako kazini na nyumbani, usiingilie ugomvi wowote ule....... Usijionyeshe kua unapesa..... Tofauti na hvo utarudi mkoani kwako ukiwa na ngeo au hauna mkono
Karibu sana mara, niulize kuhusu maraNaomba nipewe maelekezo na wazoefu wa huo mkoa. Kuna mission hivi karibuni naenda kuifanya huko itanichukua miaka miwili nikipambana na hizo projects hasa wilayani Tarime.
Bahati mbaya story pekee nazozipata kuhusu huo mkoa ni ukorofi, ubabe na kupigana mapanga. Anaejua vivutio vyovyote vya huko, sehem za bata n.k anipe muongozo.
Uzi tayari.
Sent from simu ya kuazima
Kuna mchongo nimedaka wa NGO boss, nahisi nitakua kule miaka miwili hivi.Mkuu umeramba ajira Tamisemi nini?
Any way Asikuambie mtu watu wa mara hawana mabaya wamestarabika sana siku hizi..!
Me sijasema usivae vzuri usimiliki gari bn na ww. em soma vzuriRoute zangu ni kazini na nyumbani. Hapo kutokujionyesha kama nina pesa ndio vipi? Nisiwe nakula na kuvaa vizuri? Nisimiliki gari nzuri ama?
Sent from simu ya kuazima
Tarime
Grocery sio glossary mkuu dah.Yani ukienda usipende kukaa sehem za mabaa au glossary, usishoboke na mwanamke yyte utaekutana nae.. Tumia muda wako kazini na nyumbani, usiingilie ugomvi wowote ule....... Usijionyeshe kua unapesa..... Tofauti na hvo utarudi mkoani kwako ukiwa na ngeo au hauna mkono
Naomba nipewe maelekezo na wazoefu wa huo mkoa. Kuna mission hivi karibuni naenda kuifanya huko itanichukua miaka miwili nikipambana na hizo projects hasa wilayani Tarime.
Bahati mbaya story pekee nazozipata kuhusu huo mkoa ni ukorofi, ubabe na kupigana mapanga. Anaejua vivutio vyovyote vya huko, sehemu za bata n.k anipe muongozo.
Uzi tayari.
Sent from simu ya kuazima
vivutio vya mkoa wa Mara
Wewe murisyaaa kabisa unafaaa ukakeketwe ili tabia za kike kike zikutoke ufikirie vitu Criticalvivutio vya mkoa wa Mara :-
1. Mto Mara wenye vinyesi vya ng’ombe
2.wakurya ni weusi na sura kali
3. Kuna mgodi wa dhahabu umezingushiwa ukuta mkubwa ila wakurya wanauruka kuingia mgodini.
5. Kuna Butiama eneo lisilokuwa tangu 1961
6. Kuna wanawake wengi walio keketwa