Kuna vingine huwa havionjwi

Kuna vingine huwa havionjwi

We acha uboya, mke anauma, kama unataka kupiga mkuyati wako, oa wake wa kukutosha acheni kudanganyana, mi ukinigongea pamoja na kukuroga uchizi, nakuongezea na hamu ya kutaka kufumuliwa marinda kudadadeki!!
******* mnajulikana tu wewe huyo mwanamke umemkuta hana bikra au mke wa mtu umeachiwa ukaoa. Leo ukamuue mwenzako? Mwanamke ni tabia kwanini kamfuata jamaa nyumbani kwake na kumekutikana bia na nguo za kike.
Mmekutana wote mna meno 32, hilo tundu linapitisha mpaka mmzigo wa kilo 3 leo na kibamia chako utamtosheleza vipi?
 
Sasa unamuua mwenzako au kumchawia AKIFA unafungwa Maisha Jela
huyo Mkeo ataacha kugawa?
je km ukifa ataacha kugawa
je una kibamia au imekufa haisimami yeye ataacha kugawa
Tumeambiwa tuishi kwa akili na kina HAWA /EVA
 
Mwenye makosa ni mume hamtoshelezi Mke wake mpaka anaendagawa kwa jamaa yako
Mtafute mwenye mke mwambie kuna vidume havilogeki tatizo ni kibamia chake ataua wengi, ili mwanamke atulie ndani ni mkuyati mpaka ashibe bila hivyo ATATOROKA TU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom