Kuna vingine huwa havionjwi

Kuna vingine huwa havionjwi

kusema ukweli mimi nna nyota mbaya sana na wake za watu.
sio mmoja au wawili yaani from nowhere hata hamjazoeana anaanza kukueleza mambo ambayo yatakushangaza.

kama mmojawapo mme wake ni staff mwenzangu.mkewe sikuwahi kumfahamu.hata bahati mbaya kuna siku nilikutana na staff mwenzangu yuko na mdada tukasalimiana.kwa akili ya haraka nilijua ni mchepuko wake sbb hakunitambulisha.

kuna siku nikapokea sim namba ngeni..hakutaka nimjue yeye nani ila alitaka nimpe ushirikiano..kujua huyo staff amesafiri au yupo kwa mwanamke mwingine!nilishangaa sana.nikamjbu mi sifahamu sababu tuko kampuni moja ila dept tofauti.
. katka maongez ndio nikajua kuwa ni mke wa jamaa.vitu alivynieleza yule dada kumuhusu jamaa kwakweli niliskitika sana.jinsi anamvyotesa na kumtukania kabila lake..yaani hamwiti mke wangu au mpenzi wangu anamwita(WE Mnyiramba KUJA HAPA)na maneno ya kashfa mengi.

akawa ananipigia simu wakati mwngine niko ht na jamaa yake..nikawa naikata.
nikahisi mazoea yatazidi nikamblock haikutosha akawa anatumia namba zingine.
nisipopokea ananitext..anasema akiongea na mimi kidogo anapata utulivu sababu anayatoa moyoni.haamini mtu mwingine zaid yangu.daahh
namba yangu aliipata kwenye simu ya jamaa yake.

yule mwanamke alinieleza mambo mengi sana nikamjaribu kumshauri kadri ya uwezo wangu..

ila kwa jinsi alizidisha mazoea ya kunipigia nikaogopa iko sku jamaa atakuta text au calls kwenye simu y mke wke halafu akanihis vibaya.ikabidi nimshirikishe rafiki yetu mwingine ambae ni mtu mzima.ili kikinuka yupo wa kunitetea.
vitu alivyoniambia niliogopa kuhusu huyu mwanamke!!

kumbe mke w jamaa na bichi kinyama yaani huwa anatoroka hadi usiku kufata dudu nje..na huyu mke ndio mkorofi ashampiga jamaa stuli y kichwa.jamaa kweli alikuja siku hiyo ana ngeu akaniongopea kwamba alianguka chooni kumbe mke alimpasua baada ya kukuta msg y mwanaume mwingine..kwenye sim ya mke.

nilichoka aseee!!siku hiyo kanipigia kwa namba ingine nilikuwa na sista nikampa.aongee nae ajifanye ni wife..toka hapo hajapiga tena.

ingine taileta kesho hii ndio noma.hadi najihisi kama matatizo na mikosi.yanataka kunifata
Hatari sana
 
Life is too short, enjoy to the fullest

Kufa kupo tu wazee
20211206_234359.jpg
 
Jamani msaidieni huyu jamaa amedata eti na wadada wanene muonjesheni anawaleezea kuwa siku za karibuni atakuwa chizii au ameshaanza kuchizika kisa nyie jamani.
Mpeni hata kidogo
 
Hii ilitokea kwa rafiki yangu ambaye tulikuwa tunafanya naye kazi miaka mingi iliyopita. Ilikuwa ni kipindi cha mwezi kama huu.

Tulikuwa tumepanga nyumba nzima tukawa tumegawana vyumba. Jamaa alikuwa ni mtaratibu sana na mpole, kutokana na malezi aliyokulia.

Nikawa nimepata likizo, nikasafiri kwenda kutembelea familia yangu, na huyo rafiki yangu nikawa nimemuachia mjengo. Baada ya likizo kuisha nikarudi mzigoni, kufika tu mjengoni napata habari jamaa amekuwa chizi, na amepelekwa kwao na mwajiri.

Kwa kuwa nilikuwa nafunguo za mjengo, nikafungua nikaingia ndani, pale sebuleni nikakuta chupa za pombe na nguo za mwanamke; mitandio, taiti, na vitenge.

Nikatafuta kijana wa usafi, asafishe ili mazingira kuwa safi. Kesho yake nilipoingia kazini ndio napata taarifa kamili, kuwa jamaa alilala na mke wa mtu mle ndani, jimama aliyekuja mapumzikoni, matokeo yake jamaa amekuwa kichaa.

Kwa sababu nilikuwa naishi naye nyumba moja jamaa, ikabidi niombe ruhusa niende kumtembelea huko kwao. Nilipofika nilikuta mshikaji anaongea mwenyewe, sikuamini kama ndio yule jamaa aliyekuwa mtaratibu. Kuna wakati kumbukumbu zinamjia na kunielezea matukio, baadaye akili inaruka.

Baada ya hapo, niliwapa pole ndugu zake, nikarudi mzigoni.

Wadauu, nimekumbuka kuwapa hii stori hasa kipindi hiki, kwa sababu watu wengi wanasafiri, unaweza kuona mtu mtaani kwako amenona, kumbe ni balaa tupu; kumbuka kuna vingine huwa havionjwi!
Huo mkwal tuuuu tw
 
Jamani msaidieni huyu jamaa amedata eti na wadada wanene muonjesheni anawaleezea kuwa siku za karibuni atakuwa chizii au ameshaanza kuchizika kisa nyie jamani.
Mpeni hata kidogo
Natamani nikuone
 
kusema ukweli mimi nna nyota mbaya sana na wake za watu.
sio mmoja au wawili yaani from nowhere hata hamjazoeana anaanza kukueleza mambo ambayo yatakushangaza.

kama mmojawapo mme wake ni staff mwenzangu.mkewe sikuwahi kumfahamu.hata bahati mbaya kuna siku nilikutana na staff mwenzangu yuko na mdada tukasalimiana.kwa akili ya haraka nilijua ni mchepuko wake sbb hakunitambulisha.

kuna siku nikapokea sim namba ngeni..hakutaka nimjue yeye nani ila alitaka nimpe ushirikiano..kujua huyo staff amesafiri au yupo kwa mwanamke mwingine!nilishangaa sana.nikamjbu mi sifahamu sababu tuko kampuni moja ila dept tofauti.
. katka maongez ndio nikajua kuwa ni mke wa jamaa.vitu alivynieleza yule dada kumuhusu jamaa kwakweli niliskitika sana.jinsi anamvyotesa na kumtukania kabila lake..yaani hamwiti mke wangu au mpenzi wangu anamwita(WE Mnyiramba KUJA HAPA)na maneno ya kashfa mengi.

akawa ananipigia simu wakati mwngine niko ht na jamaa yake..nikawa naikata.
nikahisi mazoea yatazidi nikamblock haikutosha akawa anatumia namba zingine.
nisipopokea ananitext..anasema akiongea na mimi kidogo anapata utulivu sababu anayatoa moyoni.haamini mtu mwingine zaid yangu.daahh
namba yangu aliipata kwenye simu ya jamaa yake.

yule mwanamke alinieleza mambo mengi sana nikamjaribu kumshauri kadri ya uwezo wangu..

ila kwa jinsi alizidisha mazoea ya kunipigia nikaogopa iko sku jamaa atakuta text au calls kwenye simu y mke wke halafu akanihis vibaya.ikabidi nimshirikishe rafiki yetu mwingine ambae ni mtu mzima.ili kikinuka yupo wa kunitetea.
vitu alivyoniambia niliogopa kuhusu huyu mwanamke!!

kumbe mke w jamaa na bichi kinyama yaani huwa anatoroka hadi usiku kufata dudu nje..na huyu mke ndio mkorofi ashampiga jamaa stuli y kichwa.jamaa kweli alikuja siku hiyo ana ngeu akaniongopea kwamba alianguka chooni kumbe mke alimpasua baada ya kukuta msg y mwanaume mwingine..kwenye sim ya mke.

nilichoka aseee!!siku hiyo kanipigia kwa namba ingine nilikuwa na sista nikampa.aongee nae ajifanye ni wife..toka hapo hajapiga tena.

ingine taileta kesho hii ndio noma.hadi najihisi kama matatizo na mikosi.yanataka kunifata
Mzee kismart hicho kwarua tu [emoji1787]
 
Yah..jamaako mwingine akaleta Uzi anaomba ushauri eti amependwa na mke wa Mzee mmoja hapo mtaani kwake.Mzee mtu wa kusafiri mikoani alafu mke binti Tu damu inachemka kampemda mshikaji.so jamaa anauliza ampelekee Moto binti au aachane nae

Nikausomaaa Uzi sikucomment chochote nikapita zangu hivi,huku nikijisemea kimoyomoyo "huyu anadhani huyo Mzee Fala Kwa vile anasafiri mikoani mkewe anamwacha bure Tu.Ngoja atembee na mkewe Kama hakumtupia kijini shoga aangaike nacho mwaka mzima"
🤣🤣
 
Ndy..mimi ndy huyo Mzee

Kijana wa watu mtamkosa soon akitembea na mke wangu.Naanza na kijini shoga cha buku kumi kisha namshusha busha,suruali zenu za kuitwa modo atazisikia kwenye bomba
We kamzee acha vitisho.

Watu wengi hudhani wanawake wa kwenye ndoa hutoka nje kufata hela au sex lakini ni zaidi ya hapo.

Ile emotional part ikikosekana ya kudekezwa.... kupetiwa na kutaka kujua hisia za mwanamke ndo huanza kumfanya kujisikia upweke.

Na hapo ndo.shida zote zinapoanzia.
 
We ndy huyo mke wangu?
 
Mwenye makosa ni mume hamtoshelezi Mke wake mpaka anaendagawa kwa jamaa yako
Mtafute mwenye mke mwambie kuna vidume havilogeki tatizo ni kibamia chake ataua wengi, ili mwanamke atulie ndani ni mkuyati mpaka ashibe bila hivyo ATATOROKA TU
We acha uboya, mke anauma, kama unataka kupiga mkuyati wako, oa wake wa kukutosha acheni kudanganyana, mi ukinigongea pamoja na kukuroga uchizi, nakuongezea na hamu ya kutaka kufumuliwa marinda kudadadeki!!
 
Back
Top Bottom