Kuna vingine huwa havionjwi

Kuna vingine huwa havionjwi

Mimi ninaye ndugu yangu mtoto wa bro ni binti wa miaka km 20 hivi kaenda zake ruvuma kutafuta maisha kakutana na mwarabu,mwarabu akanogewa na binti mapenzi yakakolea akatelekeza familia mke na watoto kisa huyu binti mrembo

Mke wa mwarabu alichofanya ni kumsomea kitabu binti kawa chizi mwaka mzima babaake anaangaika nae Kwa waganga maana hospital na maombi imeshindikana

Unaambiwa mke wa mwarabu kafunga jina la binti kwenye karatasi upepo ukivuma Tu (maneno ya mganga wanmsumbiji),huku nyumbani hakukaliki.Binti ameshavua sn nguo na kukimbia uchi mpaka ikafikia mahali wanamvalisha nguo kisha inapigwa kamba ya htr ili ashindwe kuvua

Mwaka Jana wakaenda msumbiji ndy angalau sasa hivi ana unafuu Ila hajawa Sawa kbs.Tukio lilikuwa la mwaka juzi.Mume wa mtu,mke wa mtu ni htr an.Bro amefirisika sn ameuza Hadi kiwanja na mashamba mwaka mmoja na nusu anamtibia mwanae

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, hii dunia ina mambo inabidi kwenda kwa step
 
Aisee kumbe kweli eeh, waume/ wake za watu ni wakukimbia kama ukoma, upate matatizo kwa mipango ya Mungu, siyo ya binadamu eti kakuroga kwa vitu vinavoepukika kabisa. 🤔
 
Bora unikubali Mimi siyo mme wa mtu,lkn Yule jamaa anayekusumbua kila siku Bora umkazie hivyohivyo vinginevyo utavaa pichu kichwani
 
Mungu awasaidie nini tena si ameishawapa amri kwamba USITAMANI MALI YA MWENZIO HATA MKE WAKE!!! Ukikaidi amri ndiyo hiyo adhabu unayopewa.
Itabidi tunyofoe macho ili tusitamani
 
Mkuu, hii dunia ina mambo inabidi kwenda kwa step
Yah..jamaako mwingine akaleta Uzi anaomba ushauri eti amependwa na mke wa Mzee mmoja hapo mtaani kwake.Mzee mtu wa kusafiri mikoani alafu mke binti Tu damu inachemka kampemda mshikaji.so jamaa anauliza ampelekee Moto binti au aachane nae

Nikausomaaa Uzi sikucomment chochote nikapita zangu hivi,huku nikijisemea kimoyomoyo "huyu anadhani huyo Mzee Fala Kwa vile anasafiri mikoani mkewe anamwacha bure Tu.Ngoja atembee na mkewe Kama hakumtupia kijini shoga aangaike nacho mwaka mzima"
 
Yah..jamaako mwingine akaleta Uzi anaomba ushauri eti amependwa na mke wa Mzee mmoja hapo mtaani kwake.Mzee mtunwa kusafiri mikoani alafu mke binti Tu damu inachemka

Nikausomaaa Uzi sikucimment nikapita hivi,huku nikijisemea kimoyomoyo "huyu anadhani huyo Mzee Fala Kwa vile anasafiri mikoani mkewe anamwacha bure Tu.Ngoja atembee na mkewe Kama hakumtupia kijini shoga aangaike nacho mwaka mzima"
Wewe ni huyo Mzee?
 
Ww achaa kututishaa ww km unasafiri safirii tu tuachie mkeo yatakayotokeaa mengine n majaliwa
 
Yah..jamaako mwingine akaleta Uzi anaomba ushauri eti amependwa na mke wa Mzee mmoja hapo mtaani kwake.Mzee mtu wa kusafiri mikoani alafu mke binti Tu damu inachemka kampemda mshikaji.so jamaa anauliza ampelekee Moto binti au aachane nae

Nikausomaaa Uzi sikucomment chochote nikapita zangu hivi,huku nikijisemea kimoyomoyo "huyu anadhani huyo Mzee Fala Kwa vile anasafiri mikoani mkewe anamwacha bure Tu.Ngoja atembee na mkewe Kama hakumtupia kijini shoga aangaike nacho mwaka mzima"
Kama atapitia uzi huu, atajifunza
 
Wewe ni huyo Mzee?
Ndy..mimi ndy huyo Mzee

Kijana wa watu mtamkosa soon akitembea na mke wangu.Naanza na kijini shoga cha buku kumi kisha namshusha busha,suruali zenu za kuitwa modo atazisikia kwenye bomba
 
kusema ukweli mimi nna nyota mbaya sana na wake za watu.
sio mmoja au wawili yaani from nowhere hata hamjazoeana anaanza kukueleza mambo ambayo yatakushangaza.

kama mmojawapo mme wake ni staff mwenzangu.mkewe sikuwahi kumfahamu.hata bahati mbaya kuna siku nilikutana na staff mwenzangu yuko na mdada tukasalimiana.kwa akili ya haraka nilijua ni mchepuko wake sbb hakunitambulisha.

kuna siku nikapokea sim namba ngeni..hakutaka nimjue yeye nani ila alitaka nimpe ushirikiano..kujua huyo staff amesafiri au yupo kwa mwanamke mwingine!nilishangaa sana.nikamjbu mi sifahamu sababu tuko kampuni moja ila dept tofauti.
. katka maongez ndio nikajua kuwa ni mke wa jamaa.vitu alivynieleza yule dada kumuhusu jamaa kwakweli niliskitika sana.jinsi anamvyotesa na kumtukania kabila lake..yaani hamwiti mke wangu au mpenzi wangu anamwita(WE Mnyiramba KUJA HAPA)na maneno ya kashfa mengi.

akawa ananipigia simu wakati mwngine niko ht na jamaa yake..nikawa naikata.
nikahisi mazoea yatazidi nikamblock haikutosha akawa anatumia namba zingine.
nisipopokea ananitext..anasema akiongea na mimi kidogo anapata utulivu sababu anayatoa moyoni.haamini mtu mwingine zaid yangu.daahh
namba yangu aliipata kwenye simu ya jamaa yake.

yule mwanamke alinieleza mambo mengi sana nikamjaribu kumshauri kadri ya uwezo wangu..

ila kwa jinsi alizidisha mazoea ya kunipigia nikaogopa iko sku jamaa atakuta text au calls kwenye simu y mke wke halafu akanihis vibaya.ikabidi nimshirikishe rafiki yetu mwingine ambae ni mtu mzima.ili kikinuka yupo wa kunitetea.
vitu alivyoniambia niliogopa kuhusu huyu mwanamke!!

kumbe mke w jamaa na bichi kinyama yaani huwa anatoroka hadi usiku kufata dudu nje..na huyu mke ndio mkorofi ashampiga jamaa stuli y kichwa.jamaa kweli alikuja siku hiyo ana ngeu akaniongopea kwamba alianguka chooni kumbe mke alimpasua baada ya kukuta msg y mwanaume mwingine..kwenye sim ya mke.

nilichoka aseee!!siku hiyo kanipigia kwa namba ingine nilikuwa na sista nikampa.aongee nae ajifanye ni wife..toka hapo hajapiga tena.

ingine taileta kesho hii ndio noma.hadi najihisi kama matatizo na mikosi.yanataka kunifata
 
Sio vyote vya kuonja

Nilizama uvinza kwa malaya fulani standard hivi kidogo classic nilimchukulia samaki samaki

Nilitoka vidonda mdomoni na kwenye ulimi nilivitibu mwezi mzima nilikuwa kama zombie
 
Back
Top Bottom