Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 949
- 1,725
Duuh!Ndo Mpaka Kila Kitu Kifanane Mpaka Nukta Kasoro Rangi tu Ya Ukurasa Wa Kulogin i thinkSijajuwa nadhani wanatumia system moja
Duuh!Ndo Mpaka Kila Kitu Kifanane Mpaka Nukta Kasoro Rangi tu Ya Ukurasa Wa Kulogin i thinkSijajuwa nadhani wanatumia system moja
Kweli mwanangu. Nmeangalia zamoto hapa kila kitu sawa. Basi hii system awaja code wao au wanatumia template tuseme ya website moja. Maana hadi code nmeangalia zinafanana. Naona bei ndo zipo tofauti hapaDuuh!Ndo Mpaka Kila Kitu Kifanane Mpaka Nukta Kasoro Rangi tu Ya Ukurasa Wa Kulogin i think
Swadakata Huenda Ni templateKweli mwanangu. Nmeangalia zamoto hapa kila kitu sawa. Basi hii system awaja code wao au wanatumia template tuseme ya website moja. Maana hadi code nmeangalia zinafanana. Naona bei ndo zipo tofauti hapa