Kuna vichaa wengine wanaigiza

Kuna vichaa wengine wanaigiza

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
877
Reaction score
1,781
Naimani mko poa.

Leo nimeleta huu uzi kuchangamsha jukwa kidogo 🤣🤣

Kuna VICHAA wengine ni real wanashida hiyo lakini nina imani wapo wengine wanaigiza Kwa sababu zao binafsi.

Hapa mtaani kwetu yupo jamaa Kwa umri ni kama ana umri 25-30 yrs.

Huyu jamaa ana tabia moja mbaya sana.
Anatembea kifua wazi na chini kavaa bukta kubwa bila mkanda na ndani ana ka pensi ka jez nyepesi kaliko chanika chanika na kuchakaa.

Huyu jamaa anachokifanya ni kwamba anapohisi kabanwa na ushuzi anatafuta mahali ambapo kuna watu kadhaa wamekaa wanapiga stor au sehem yoyote yenye watu either wanapiga stor au wanafanya majukumu yao kama mafundi landa, wamama, mafundi cherehani, kwenye kahawa n.k

Akifika anajamba anajikaza ili ushuzi utoke kwa sauti na presha kubwa hafu anavua lile bukta lake analikung'uta ili kuisambaza ile harufu na mara nyingi ushuzi wake unakuwaga na harufu kali mno.

Akishajamba na kukung'uta ile bukta anaigeuza nje ndani anavaa hafu anasepa huku anacheka.

Washkaji washampiga mabit sana lakini hasikii la Mkuu na guu havunjuki Yani ni mwendo wa kujambia watu mpka wazee na wamama yeye ndo zake hafu akiwa anaondoka anakuwa anacheka. Watu wanasema anafanya kusudi.
 
Back
Top Bottom