Kuna uwezekano wa wapenzi kuwa mbali?

Kuna uwezekano wa wapenzi kuwa mbali?

Kibongo bongo Ni asilimia chache inawezekana...hiyo asilimia chache inayobaki it is impossible!! Wabongo tunavyopenda kwichikwichi...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna ukweli mkubwa sana katika hili, ndio maana wengi wanasema haiwezekani.
 
Binafsi siwezi, lazima nitatafuta '' small house ''
 
Back
Top Bottom