Kuna uwezekano wa wapenzi kuwa mbali?

Kuna uwezekano wa wapenzi kuwa mbali?

Inawezekana ila inaumiza saaana kuliko maelezo upande mmoja unaweza kuwa na uaminifu na upande mwingine ndo hivyo tena yaan full stress
 
huwa tunalelewa katka mazngra tofaut mfano binti kwao hatumii cm in short no communication to each other uhusiano mpak hapo nadhan utakuwa umekufa, in r/ship kunavikwazo ving mno nahicho n kimoja wapo hamna mawacliano wala nn ndo hapo inakuwa maumivu niacheee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Lazima tuwe wa kweli ni ngumu sana kwa mapenzi ya mbali kudumu couples wengi ila siyo wote hali hii imeshinda kuna some % ya kudumu ingawa likikuta ndiyo utakuwa na uwezo wa kueleza zaidi.
 
Yote yanawezekana... Ishu hapo ni wewe.
Je unaweza kuishi na mpenzi alie mbali?
Je mtadumu?
Lazima jibu unalo
 
Inawezekana lakini yataka moyo na hasa ukiangalia michepuko ya cku hizi, mitego kila kona si kwa wanawake wala wanaume
 
Inawzekana kuna mke wa jamaa yupo marekan mwaka wa 4 huu anasoma ila jamaa wake tupo nae fresh tu wala ana hofu,,na mara nying hua ana kauli,namlenda mje wngu nae ananipenda,,so sijui atakua anatafuta nn kwa mwanaume mwngine.... Kuhusu yy jamaa ni ofisin,gym church .. No bar,no beach no beer
 
hawajaonana miaka yote hiyo minne???
 
huwa tunalelewa katka mazngra tofaut mfano binti kwao hatumii cm in short no communication to each other uhusiano mpak hapo nadhan utakuwa umekufa, in r/ship kunavikwazo ving mno nahicho n kimoja wapo hamna mawacliano wala nn ndo hapo inakuwa maumivu niacheee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio uache kutembea na wanafunzi(watoto)
 
Mkewe kaondoka 2013 anarud mwez wa sita mwaka huu,,hajakanyaga kabsa tz,,na wapo fresh tu aisee.. Kuchit ni kutaka tu wala tusitafute kisingizio kingine zaid ya tamaa
I need that man Lols....

That is very good. Mawasiliano ndio kitu kikubwa kuendelea kuwaweka Karibu zaidi..
 
Back
Top Bottom