Kuna uwezekano wa wapenzi kuwa mbali?

Kuna uwezekano wa wapenzi kuwa mbali?

Yeah.....Ila nahisi asilimia kubwa cheating Ni nyingi saana.

Only wale ambao wanajitambua ndio hufanikiwa
Mbona mimi sicheat??[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ila ni changamoto, cha msingi mnakuwa namawasiliano thabiti, mnapanga kuonana kila inapobidi, na kama mnapendana na mna nia ya dhati inawezekana.
 
Binti anaishi kwao na haruhusiwi kumiliki simu! Huyo ni mtoto ndugu.
Tafuta watu wazima wenzio,au ndio size zako(mnalingana)?
aseee ni mkubwa tena sana ila dingi koloni kinoumah hahaaa.
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka

BUT kama mna wasiliana kwa karibu, na at least ndani ya muda flan mna kutana na kufanya yenu vizuri, mna weza sukuma sukuma sikuz, wahenga walisema simu ni nusu ya kuonana (wahenga Modern hao), so mkitumia vzuri, likely mta weza, ila kwa kweli uzoefu una onesha ni mahusiano ambayo huwa haya dumu
75% yanishia njia panda
 
Aiseee!!! Hayo mapenz yanahitaj moyo sana
1 yanahitaj uvumilivu kuliko hata mafans wa arsenal
2 uwe na moyo wa chuma
3 kama unajijua una pressure
Yakupanda na kushuka
Bas we kaambali na hii kitu
N hatar kwa maisha yako
 
Mbona mimi sicheat??[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ila ni changamoto, cha msingi mnakuwa namawasiliano thabiti, mnapanga kuonana kila inapobidi, na kama mnapendana na mna nia ya dhati inawezekana.
Wow
Wewe hu cheat ! Good news Dada shemej.....

Sasa shemej imagine miaka miwili?? Hamuonani...
 
Binti anaishi kwao na haruhusiwi kumiliki simu! Huyo ni mtoto ndugu.
Tafuta watu wazima wenzio,au ndio size zako(mnalingana)?
30% kat yao ndo wanaongoza
Kwa kua na IPhone 6,Samsung j7,htc
Barabaran wanatamba,nazo co mchezo
Ila wakifka nyumban hata fb atakwambia haijui
 
Wow
Wewe hu cheat ! Good news Dada shemej.....

Sasa shemej imagine miaka miwili?? Hamuonani...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hiyo ya miaka miwili labda kama ni mume.
Mie naongelea hii ya mikoani, tunaonana kila nafasi inapopatikana na mawasiliano safi kabisa.
 
Kama mkikubaliana iwe open relationship ni sawa inawezekana, ila Exclusive relationship wengi wanafeli...Unafiki ni mwingi sana kwa hawa dada zetu yani!
 
Back
Top Bottom