Kuna uwezekano wa wapenzi kuwa mbali?

Kuna uwezekano wa wapenzi kuwa mbali?

Mbona mimi sicheat??[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ila ni changamoto, cha msingi mnakuwa namawasiliano thabiti, mnapanga kuonana kila inapobidi, na kama mnapendana na mna nia ya dhati inawezekana.
Sio kwa hawa viumbe wa enzi hii, kulizwa nje nje...Hamna guarante,jitu linajua mpo kwenye exclusive relationship ila on your back lina behave kama ni open relationship and you won't do shit about it!!! Zaidi utaishia kuumia tu!
 
Ni changamoto kwakweli.
 
Wala hata kiukweli mwanaume akiwa na Mimi awe mvumilivu kuliko ndiyo maana huwa sipendi kuanzisha mahusiano na kijana mdogo/vijana so najua hatooweza kunihandle the way nataka
Kijana mdogo ndo kuanzia miaka mingapi hadi mingapi?
 
Sio kwa hawa viumbe wa enzi hii, kulizwa nje nje...Hamna guarante,jitu linajua mpo kwenye exclusive relationship ila on your back lina behave kama ni open relationship and you won't do shit about it!!! Zaidi utaishia kuumia tu!
well said....... hakuna guarantee
 
Ambae hajaingia asijaribu na akijaribu awe na moyo wa plastic hapa ataweza
 
Akishajiheshimu yatosha, hata ukiwa karibu nae kama hajiheshimu atafanya upuuzi wake tuu
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka

BUT kama mna wasiliana kwa karibu, na at least ndani ya muda flan mna kutana na kufanya yenu vizuri, mna weza sukuma sukuma sikuz, wahenga walisema simu ni nusu ya kuonana (wahenga Modern hao), so mkitumia vzuri, likely mta weza, ila kwa kweli uzoefu una onesha ni mahusiano ambayo huwa haya dumu
Karibu tena mjengoni
 
Ukishatumia neno 'mapenzi' au 'upendo' maana yake ni kwamba upo juu ya kikwazo chochote unachoweza kukiwaza/fikiri...

Kama Mungu tu aliyepo mbinguni (maumbali kibao) huko anakupenda wewe mwanadamu uliyepo Kaswenswe, sembuse Moro na Mbeyaa
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umenena mkuu.
 
Kibongo bongo Ni asilimia chache inawezekana...hiyo asilimia chache inayobaki it is impossible!! Wabongo tunavyopenda kwichikwichi...
 
Back
Top Bottom