😅😅Zingine ni kamba sasaHuwezi maana ukidabwa ukabinywa kende utasema mpk tarehe ya babu yako wa nne alipozaliwa!.
Nafikiri inategemea na kazi husika maana yoyote anaweza kuwa spy endapo watakuhitaji I mean wanaweza kukununua uipeleleze hata ofisi yako mwenyewe unapofanya kazi!. Nafikiri wanakuwa wanaangalia eneo na wapeleke mtu wa namna gani kuna maeneo hata mkijua huyu ni mpelepezi hamuwezi mfanya kitu ila mtamuepuka tu!. Sasa kwenye magenge ya madawa ya kulevya ama machimbo ya dhahabu lazima wapeleke mtu mwenye mbinu za medani ya kupigana ngumi yake moja tu mpaka unaita mamaaa!
Akiruka mikuchu anatua kwenye kichwa chako!,akichomoa kisu anawakatakata kama nyanya!.
Au kwa mdomo wake anaweza kuwang'ata shingoni mkafa wote!
Uwezekano upo maana ukiingizwa huko unafundishwa kozi yao miezi 3 na ukimaliza kadri unavyopandishwa cheo kozi nayo inakuhusuHabari za wakati huu wakuu?
Natamani kujua, maana kuna Watu unaweza kudokezewa kuwa ni pandikizi but ukiwaangalia hawako strong,yaani ni wa kawaida tu kama mtu ambae hajapitia mafunzo. Je,kuna uwezekano wa kuifanya Kazi Hii bila kupitia mafunzo ya Jeshi?? Hasahasa kwa hawa informers?
Ukisikia uchawa ndo huu sasaKuna maspy wengine wapo tu mtaani, kazi kuangalia umekula nini..
Wa uswahilini ndio nuksi, unaweza kuibiwa godoro lako 7 mchana wasijue, ila ukiingiza demu 9 usiku hanamjua rangi, sauti yake mpaka muda wa kutoka
Uswahilini raha saana
Umeona eee..Zingine ni kamba sasa
Ushawahi kuwa spy..?😅😅Zingine ni kamba sasa
Sasa mbona unabishia watu wenye fani zao..? Unakuwa mkaidi tu!Hata kujaribu siwezi😌
Kaombe kanisani ukitaka evidence hapa andaa pambano uone navyokunyoosha hilo shingo🤣🤣Naomba Evidence
Utofauti wake ni upi??
Asante MkuuHauwezi kufanya kazi usalama wa taifa bila kupitia mafunzo yao kule baada ya kutoka majini. Ata kama ukiwa unaenda kua secretary wa ofisi.
Mtu yoyote anaweza kua informer( polisi kukuomba kuwapigia simu ukiona kitendo si cha kawaida) ila sio spy( unatakiwa kua trained)