Kuna uwezekano wa kuupata

Kuna uwezekano wa kuupata

Kikubwa ufahamu vituo vote vinavyofanya biashara ya kusafirisha mizigo kwa eneo hilo, naamini mkifika sehemu ambapo mzigo upo mkiwaelezea ni mzigo upi na ulifungwa vipi, wanaweza wakawaelewa na pia kuwapa scenario halisi mliyonayo ni rahisi kuwaelewa.
Kikubwa uwe na muda wa kutosha.
Pole Mungu akupe faraja Mkuu
 
Dunia Ina Siri nzito sana hii.

Hapo usikute anayeulizia Mzigo wa Marehemu ni Alimuuzia kwa Mali Kauli, Endapo Akifika akiuza arejeshe Pesa. Mara Ghafla akapatwa na Mauti akiwa Njiani!

Kwa Haraka Haraka Ndugu wa Marehemu ni Ngumu kuelewa hilo Somo. Chakufanya ni Mweny Mali Kutafuta njia ya Kuuwahi kabla haujapotea.

Sorry sijasema kama ndo uhalisia ipo ivyo kwa mamamzungu ila nimesea kwa Niliyowahi Kuyashuhudia!

Ushauri wangu kwako Ni Utambue Je mzigo ulisafirishwa Kwa Bus au Lori?

Ukishafahamu Hilo tafuta Askari Polisi umuelezee uhalisia ambao mtaenda naye kweny Ofisi za maBus au MaLori yanayoenda huko mzigo ulipokuwa unapelekwa afanye uchunguzi kweny Daftar la risiti la Tarehe na sk hiyo mzigo uliposafirishwa. Nakuhakikishia hamtazunguka hata Ofisi 5 bila kupata Jib!

Poleni sana Kwa Kufiwa. Pia pole kwa Presha ya kupoteza mzigo wa gharama kubwa ivyo kwako. Ila Kama ni Cha Halali utaupata Ila kama ni Janja Janja hakika hautoupata abadani.!
 
Back
Top Bottom