Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

Kila la kheri sista. Mahusiano huanza popote
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM

xaxa wewe unakazi tayari kwanini utoe masharti magumu haujui kuna wengne hawana kazi na wanataka fursa hiyo
 
Kote ulikopita shule Chuo na kazini umekosa unakuja kumtafuta humu mmmmmhhhh
 
vp kuhus kupima afya na dini sio vigezo kwako?km nitayajua hayo nitashawishika kwa hilo mpndwa.
 
Mumejina
Geresha
Huku ndio kwenyewe hasawakusafisha nyota ya kuolewa

Pm nikupe I'd zao
 
wapo wengi sana na watakuja wote yawezekana nam mmoja wapo, ila kuwa makin sana

Wanaume tumeubwa kutaman, na kama unamvuto kaz ni kwako,

maana kuna wengine ukikutana naye unataman muda uende uondoke na namba ufute.
 
Ninakwambia kitu ambacho nina ushahidi nacho ni kweli kuna matapeli na kuna wenye mapenzi ya dhati mimi nimempata mtu humu humu jamiiforums na tunapedana sana ninampenda na yeye ananipenda sana

Hongera sana kwa hilo
 
najibu post tu, sehemu yoyote kuna uwezekano wa kumpata mume, ikiwa sokoni, porini, garini n.k
 
There goes my bae... Am here bae... Kuna haja ya kuzama PM. Mi naweka wazi hisia zangu kwako mbele ya halaiki...
 
Back
Top Bottom