Mwana wani
Member
- Aug 6, 2014
- 58
- 9
tupia picha yako kwanza tukuone...
Lols. We nae?
sasa c ungekaa kimya???
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm
wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe
NITAKUpA MAELEZO YOTE PM
Ngoja nikaandae CV ntarudi baadae
Nimeku PM ,sifa zote nnazo kasoro sina kazi mie ni mkata mkaa.[/QUOTE
unakata mkaa!! anyway kwani siyo kazi? acheni dharau bhana