Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM
Kama mtaani wamekugwaya kaa jitathmini kwanza matatizo uliyonayo kisha baada ya kujua muombe mungu atakubariki utapata Mme bora wa mtandaoni achana nao Dada
 
Aiseeee kadiri siku zinavyozid kwenda wengine wanalilia ndoa wengine wanazikimbia, imezoea kuona wanaume wakitafuta wake huku wanawake wakisubiri kufuatwa sasa hiv mambo yamebadilika wanawakake wanatafuta ndoa kwa udi na uvumba! kila raheri mdada
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM
Umepata Mme. Nipo hapa
 
uwezekano upo japo hatuwezi sema kwa asilimia ngapi? Jambo zuri members hapa washakushauri vizuri kuwa makini na matapeli wapo wengi, kuna wasanii wengii pia. Usikimbilie ku sex nao fasta fasta maana wengi hao walokupa namba za simu kitu cha kwanza watataka mtoke out na huko lazima wakuombe sex na wakishakula mzigo wanasepa hutawaona, kwa hiyo akili kichwani mwako


mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM
 
Uwezekano wa kumpata mume humu upo maana waliopo humu ndo haohao waliopo mitaani/maofisini/makanisani na misikitini! Ila tu uwe na uwezo wa kuchambua ngano na magugu. Best wishes!
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM

Noted
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom