Kuna uwezekano wa dini zinazoweza kuja kuzipiku dini za Ukristo na Uislamu?

Kuna uwezekano wa dini zinazoweza kuja kuzipiku dini za Ukristo na Uislamu?

Ukristo na Uislamu na kuwa dini za kidunia au dunia

Dunia ni pana zaidi ya Tanzania.

Tutizame ramani hii ya dunia ikionesha dini zimejiimarisha wapi na ni zipi ili kupata picha halisi ya imani hizi :

1728776233415.jpeg
 
Chanzo kingine : ikionesha jinsi imani zilivyotapakaa ulimwenguni

1728776492031.jpeg

1728776562663.png
 
Nakuunga mkono mama tuachane na hawa akina mtume Mohamed tumwelekee KRISTO Hakim wa watu wote
Ukimuwacha Muhammad (saw) ndiyo umemuwacha Yesu.

Mkaristo wa kweli ni Muislam,

Kumbuka hayo.
 
Ukimuwacha Muhammad (saw) ndiyo umemuwacha Yesu.

Mkaristo wa kweli ni Muislam,

Kumbuka hayo.
Uislam ni kipande kidogo sana ndan ya ukristo hakitoshi kukufikisha mbingun kwa BABA

Na KRISTO ndiye Hakim wa watu wote na KRISTO ndiye njia siyo mhamed

Na KRISTO ndiye ufufuo

Watu wote KRISTO ndo atakayewafufua na kuanza kuwahukumu akiwemo huyo mhamed

Kwahiyo mhamed atafufuliwa na KRISTO na kuanza kuhukumiwa kulingana na makosa aliyotenda

Karibu YESU KRISTO ni mfalme wa wafalme tena ni roho wa MUNGU

Asante
 
Katika historia inaonyesha kabla ya Ukristo na Uislamu baadaye kulikwa na dini kubwa za maeneo mbalimbali lakini hazikuwa dini za kidunia kama Ukristo na Uislamu ambavyo zimekuwa dini za kidunia.

Je kuna uwezekano zikaja dini nyingine zikapiku Ukristo na Uislamu na kuwa dini za kidunia au dunia ikarudia kama enzi hizo za dini nyingi mbalimbali za kimaeneo/ kijamii/ kikanda?
D

Ukristo siyo dini. Ni imani.

Waliitwa kwanza Wakristo na Waarabu wa Syria.

D

Ukristo siyo dini. Ni imani.

Waliitwa kwanza Wakristo na Waarabu wa Syria.
Dini ndiyo chanzo cha terrorism.
 
Katika historia inaonyesha kabla ya Ukristo na Uislamu baadaye kulikwa na dini kubwa za maeneo mbalimbali lakini hazikuwa dini za kidunia kama Ukristo na Uislamu ambavyo zimekuwa dini za kidunia.

Je kuna uwezekano zikaja dini nyingine zikapiku Ukristo na Uislamu na kuwa dini za kidunia au dunia ikarudia kama enzi hizo za dini nyingi mbalimbali za kimaeneo/ kijamii/ kikanda?
Sawa.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Back
Top Bottom