Kuna uwezekano wa dini zinazoweza kuja kuzipiku dini za Ukristo na Uislamu?

Kuna uwezekano wa dini zinazoweza kuja kuzipiku dini za Ukristo na Uislamu?

Nusu ya Wachina ni Atheists na nusu wana dini mbalimbali wengi wao wakiwa Wabudha.
China is the world’s least religious country, according to a survey by WIN/Gallup International. Only 9% of the country considers itself religious, while 67% claims to be atheist - more than twice the amount of any other country.

The data, which is based on a survey of more than 66,000 people in 68 countries, suggests a further 23% of Chinese people are non-religious. The results reflect attitudes towards religion in the country, as education rules introduced in China last year said parents should not promote hardline religious beliefs in children or make them dress in specific clothing. The new regulations also banned any form of religious activity in schools.
 
Hakutakua na Dini nyengine toka kwa Mungu sababu Tayari Mungu mwenyewe ameshatoa promise hio.

Ila kwa Uisilamu point of view hakuna Mtu duniani ambaye hana dini, na dini ni muongozo wa maisha toka unaamka hadi unalala.

religion
noun
the belief in and worship of a superhuman power or powers, especially a God or gods.
 
Katika historia inaonyesha kabla ya Ukristo na Uislamu baadaye kulikwa na dini kubwa za maeneo mbalimbali lakini hazikuwa dini za kidunia kama Ukristo na Uislamu ambavyo zimekuwa dini za kidunia.

Je kuna uwezekano zikaja dini nyingine zikapiku Ukristo na Uislamu na kuwa dini za kidunia au dunia ikarudia kama enzi hizo za dini nyingi mbalimbali za kimaeneo/ kijamii/ kikanda?
Hazitokuja dini zingine bali hivi karibuni zitatoka taarifa kuwa kuna viumbe toka anga za mbali wapo na wanna kambi zao na wako more advanced technologically kuliko sisi,na hapo habari ya Mungu kumleta mwana wa pekee kukomboa watu itakapofia,ndiyo maana papa alitoa kauli ya kujitetea mapema
 
Kwa utapeli unaoendelea kuna moja kati ya hizo mbili ulizotaja inaenda kufa alafu inabaki moja
 
Sasa hizi dini zinashikiliwa na wale wazee, maana inaonekena mtu akisha zeeka ndio anaanza kuogopa kufa na kuanza kujifanya mcha mungu
 
Kuanzia mwaka 2070, waafrika wengi watakua wameachana na hizi dini kwani watagundua ni za uongo.
2100 waafrika wataungana na kuwa taifa moja na kuanzia competition na watu weupe kwenye nyanja zote.
2250 wazungu watashindwa vita hiyo na kukimbilia sayari ya Mars.
Inaweza kuwa ni kweli.
 
Dalili zishaanza kuonekana kuhusu muenendo wa hizi dini

Lazima dini zifutike, hii ni asili ya dunia kuondoa kila aina ya mifumo feki ya maisha na kurudisha mifumo Original.

The same way kwa hizi dini, dalili zake mshaziona kama vile👇

👉 Wazee wa kidini&wachungaji kujawa hofu kuhusu imani za dini zao kwa wafuasi wao na watoto wao, hivyo wanatumia nguvu kubwa sana kuwafanya wabaki makanisan&misikitin&vipindi vya dini mashuleni, kinguvu ama kwa vitisho na mafundisho potofu ya kuwalaghai na kuwabrainwash.

👉 Vijana kuanza kuhoji kila kitu kuhusu uhalali wa hizi dini na undani wake, yaan vijana wa sasa wanahoji hata yale maswali ambayo wazee wafia dini walikuwa wakisema ukiuliza ni kukufuru eti mambo ya imani hayaojiwi sijui Mungu ndie mwenye majibu, haya mambo na huu upuuzi si kwa kipindi hiki, mtoto ukimnyima majibu sahihi basi atayapata nje huko kwa wenzie, mitandaoni, kiufupi hutoweza kumficha kitu maana ni wakati sahihi wa majibu kupatikana.

👉 Dini kukosa mvuto na ushawishi kwa jamii kutokana na mikanganyiko ya mafundisho yake, yaani dini zinajipinga zenyewe, hazina facts wala logics, pia hazina historical informations zozote ambazo ziko proved zaidi zaidi kila tukio ktk mafundisho ya dini limejawa utata na hata uwepo wake hauwezekani na hata matukio na wahusika wa hizo dini hawana ushahidi wowote wa uwepo, zaidi zaidi utaambulia matukio ya waanzilishi na waenezi wa hizo dini, lkn wale wahusika haswa wa matukio na mafundisho ya hizo dini na vitabu vyake hawana ushahidi wa uwepo(fictional characters).

Mfano, matukio ya Adamu na bustani ya Edeni ni uongo na uzushi maana huko Iraq Asia majangwani hakuna tabia nchi ya kusapoti mazingira fananishi na hiyo edeni.

Pili, matukio ya hao waisrael feki kuwepo utumwani Misri(Afrika) hakuna ushahidi na hata hivyo Afrika haijawai husika na biashara haramu ya utumwa kwa wazungu&warabu wa middel east, hakuna ushahidi wa kisayansi wala kihistoria, hivyo tukio hili ni uzushi.

Tatu na la mwsho, ni kuhusu suala la chimbuko la binadamu na asili ya tofauti zao, dini zote hizi zinafichaficha haswa chanzo cha tofauti za rangi za watu ni kipi?, wamebase kwenye uzushi na uongo kuwa watu wote wametoka ktk uzao wa baba na mama mmoja, yaani mzungu/mwarabu aje amzae mtu mweusi???? Hiii sio kisayansi tu hata kichawi na kishirikina haowezekani na haitowai kuwezekana watu weupe walete uzao wa mtu mweusi, kama dini zenu zinavyodai huyo Nuhu mtu mweupe ndie aliyeleta uzao wa watu weusi, maana yake hapo kabla hawakuwepo, 😀😀😀asee dini hizi.

Kwa hayo machache ni kwamba mwisho wa dini umefika, wafuasi watagalagala, wataandamana, watalia, wataomba kwa hiyo Miungu yao lkn ukweli utabaki palepale DINI ZOTE lazima zife na hakuna takataka yoyote itakayozaliwa baada ya hapo zaidi ya ukweli tu ndio utakao tawala milele.


Poleni wafiwa kwa msiba mchungu, no way out lazima mlie tu.
 
Katika historia inaonyesha kabla ya Ukristo na Uislamu baadaye kulikwa na dini kubwa za maeneo mbalimbali lakini hazikuwa dini za kidunia kama Ukristo na Uislamu ambavyo zimekuwa dini za kidunia.

Je kuna uwezekano zikaja dini nyingine zikapiku Ukristo na Uislamu na kuwa dini za kidunia au dunia ikarudia kama enzi hizo za dini nyingi mbalimbali za kimaeneo/ kijamii/ kikanda?
Baada ya ukristo ni nihilism na science kwa kwenda mbele
 
Awareness ya wahusika katika dini zao itakuwa kubwa zaidi,

Ila dini zitabakia na kamwe hazitafutika.
 
Back
Top Bottom