Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,553
- 2,992
Sayansi inatuambia kuwa ulimwengu wa ndoto ni matokeo ya fikra na akili yako wakati ulipokuwa unafanya shughuli zako za kila siku,akili zetu hugeuka camera na kudaka baadhi ya matukio na kuyasave katika ubongo hivyo tunavyopata muda wa kujipumzisha ndivyo akili inapata kurejelea zile kumbukumbu ilizonasa ambapo huchukua kila neno/hatua ambayo inafanya matokeo yake huchakata na kukupa data kamili kupitia ulimwengu wa ndoto.
Mbali na Sayansi,imani imekuwa na maoni tofauti kuhusu ndoto wao huamini kuwa ndoto ni mkusanyiko mawazo lakini pia huambatana na uponyaji, pamoja na maono makubwa yanayokwenda kutokea mbeleni,mfano wametoa kisa cha nabii Yusuf kama rejelea yao kuhusu ndoto na matokeo yake,mbali na nabii huyo kuna Nabii kama YAKOBO na wengi neo wengi waliyopokea maono katika njia ya ndoto.
Swali litabakia je,katika mambo ya ndoto akili yetu inaweza kuamini katika sayansi?wakati ndoto hutupa maana zaidi ambayo imejijenga katika imani!!