Kuna uwezekano mkubwa uchaguzi wa Rais kurudiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna uwezekano mkubwa uchaguzi wa Rais kurudiwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by JoJiPoJi, Nov 1, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Salaam Members JF na waTZ kwa ujumla.
  Tangu matokeo ya awali yaanze kutolewa hadi sasa hali ilivyo kuna dalili ya hawa wagombea wote wa urais hakuna ambaye anaweza akapata ushindi wa moja kwa moja utakaomuwezesha kuwa mshindi.

  Na hali kama hiyo ikitokea nadhani ni wagombea wawili waliopata kura nyingi zaidi ndio watakao ingia ktk kinyang'anyiro hicho.

  Je NEC imejiandaa vya kutosha kukabiliana na hali hii kama itajitokeza, pia kwa wagombea na wananchi wanauelewa juu ya hili.

  Mungu ibariki Afrika,
  Mungu ibariki Tanzania.
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nafikiri katiba ya nchi yetu haimupi ushindi mgombea urais au ubungo kwa kuangalia asilimia, badala yake unaangalia tu majority votes. Kwa hiyohata kama watapishana kwa kura moja, bado mwenye kura inayozidi ataapishwa kuwa rais. Kwa hiyo hakuna kitu kinachoitwa kurudia uchaguzi. Jiandae tu kusherehekea au kulia based on results utakazokutana nazo.
   
 3. nzitunga

  nzitunga Senior Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani kwa sheria ya TZ, tunafuata SIMPLE MAJORITY. Hata ukiongoza kwa 34% unatengeneza serikali. Na ukitaka unaweza hata usiwahusishe wenzako. Winner takes all. Ndo maana tunalia na katiba mpya.
   
 4. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  This will work to our advantage. It means CUF watatuunga mkono. We'll then get 74% of votes. Lets pray it turns out that way.
  Bye bye sisiem
   
 5. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,548
  Likes Received: 1,307
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kama hicho tunatumia simple majoity voting system(wengi wape) hakuna kurudia maana hata kura moja inaweza kumpatia mtu ushindi
   
 6. Amigo

  Amigo Senior Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Na yakirudiwa ndio uchakachuaji utachua nafasi yake lasivyo ni kukaza buti tuuu

   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu katiba ya wapi inyosema hivyo?, Tanzania wanaangalia nani kaongoza hata kama wamegawana 30% na mmoja wao akapata 31% kuwazidi wote huyo ndiyo mshindi. Mambo ya 50% hatuna labla kama katiba imebadilishwa kuwa hivyo
   
 8. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapa tz kanuni ni simple majority hata kwa kura moja. imewala ccm tayari. waachie taifa kwa wenyewe.
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280

  come on dude.. ndio matumaini kwa mzee slaa yameshuka hivo.. this isn't a fairy tale stories, it is happen out there & it is real! JK anarudi kumalizia kipindi chapili.. wapinzani wajipange na kujiunga kwa ajili ya 2015
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...