JoJiPoJi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 2,907
- 3,260
Salaam Members JF na waTZ kwa ujumla.
Tangu matokeo ya awali yaanze kutolewa hadi sasa hali ilivyo kuna dalili ya hawa wagombea wote wa urais hakuna ambaye anaweza akapata ushindi wa moja kwa moja utakaomuwezesha kuwa mshindi.
Na hali kama hiyo ikitokea nadhani ni wagombea wawili waliopata kura nyingi zaidi ndio watakao ingia ktk kinyang'anyiro hicho.
Je NEC imejiandaa vya kutosha kukabiliana na hali hii kama itajitokeza, pia kwa wagombea na wananchi wanauelewa juu ya hili.
Mungu ibariki Afrika,
Mungu ibariki Tanzania.