Kuna uwezekano mkubwa Tanzania kupokwa uenyeji wa Afcon 2027, na kupewa Rwanda

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Kenya wamejenga viwanja vya Kisasa hasa ule wa Raila Odinga Stadium

Uganda wamejenga uwanja vikubwa na vya kisasa kabisa

Sisi Tanganyika viwanja vizuri vinajengea Zanzibar Kwa fedha za Tanganyika
Huku Tanganyika tupo kama mazuzu,
Uwanja wa Arusha hadi Leo Bado
Uwanja wa Dodoma Bado

Tukumbuke Rwanda halali ana viwanja vikubwa na anajua laZima Tanganyika atanyanganywa
1770727201195.jpg
 
Ule wa dodoma upo 2% hadi sasa, wa Arusha wamesema upo kwenye 75%.

Mimi kuna mambo mawili matatu najiuliza, viwanja kama CCM Kirumba, kile cha Arusha cha siku zote etc ni kwanini visifanyiwe maboresho vikawa vya kisasa zaidi kuliko kujenga vipya kwa gharama kubwa sana?

Au hizo tenda za viwanja vipya kuna 10% za watu?
 
Kina kiria labda wacheze manyanga uenyeji usiondoke. Awali ya yote huo uwanja wa dodoma hima pasina shaka uitwe TUNDU ANTIPUS LISSU MUGHWAI kama ilivyo kenya kwa odinga. Lissu ni mzalendo wa nchi hii na aenziwe angali hai yule baba. Ni dhahiri maandalizi hayaridhishi na muda umebaki mchache viwanja na miundombinu yake bado haijakamilika. CAF labda wamezee tu wakubali viwanja viwili cha dar na zanzibar vitumike kama arusha na dodoma havitakamilika kwa wakati muafaka
 
Ule wa dodoma upo 2% hadi sasa, wa Arusha wamesema upo kwenye 75%.

Mimi kuna mambo mawili matatu najiuliza, viwanja kama CCM Kirumba, kile cha Arusha cha siku zote etc ni kwanini visifanyiwe maboresho vikawa vya kisasa zaidi kuliko kujenga vipya kwa gharama kubwa sana?

Au hizo tenda za viwanja vipya kuna 10% za watu?
Viwanja hivyo wanadai ni Mali ya C. C. M
 
Ule wa dodoma upo 2% hadi sasa, wa Arusha wamesema upo kwenye 75%.

Mimi kuna mambo mawili matatu najiuliza, viwanja kama CCM Kirumba, kile cha Arusha cha siku zote etc ni kwanini visifanyiwe maboresho vikawa vya kisasa zaidi kuliko kujenga vipya kwa gharama kubwa sana?

Au hizo tenda za viwanja vipya kuna 10% za watu?
Tender za Abduli
 
Mimi kuna mambo mawili matatu najiuliza, viwanja kama CCM Kirumba, kile cha Arusha
CCM wamejimilikisha hivyo viwanja. Kama Serikali ikivikarabati labda pia wavitaifishe ili viwe mali ya umma.
Vinginevyo watakuwa wanawafanyia hisani CCM
 
Ule wa dodoma upo 2% hadi sasa, wa Arusha wamesema upo kwenye 75%.

Mimi kuna mambo mawili matatu najiuliza, viwanja kama CCM Kirumba, kile cha Arusha cha siku zote etc ni kwanini visifanyiwe maboresho vikawa vya kisasa zaidi kuliko kujenga vipya kwa gharama kubwa sana?

Au hizo tenda za viwanja vipya kuna 10% za watu?
Hivyo ulivyovitaja ni viwanja vya CCM. Unataka pesa za walipa kodi zitumike kuboreshea viwanja binafsi?

Ukiona mradi umekamilika kwa 100% ktk serikali ya wezi CCM, jua ya kuwa wale watendaji wakuu ktk huo mradi wamekula wakala na kula tena mpaka wakajistukia!
 
Rwanda waliona mbali wakajenga viwanja kimya kimya walijua kuna mmoja kati ya watatu ata jikanyaga soon yanaenda kutimia
Nb: pengine Rwanda waliambiwa chini ya carpet wawe standby
 
CCM wamejimilikisha hivyo viwanja. Kama Serikali ikivikarabati labda pia wavitaifishe ili viwe mali ya umma.
Vinginevyo watakuwa wanawafanyia hisani CCM
Serikali imeundwa na The greens. Haiwezi kutaifisha mali zinazomilikiwa na The Greens.
 
Endelea kuota.
Ukishtuka utakuta michuano ipo final na mwenyeji ni Tanzania.
 
Kenya wamejenga viwanja vya Kisasa hasa ule wa Raila Odinga Stadium

Uganda wamejenga uwanja vikubwa na vya kisasa kabisa

Sisi Tanganyika viwanja vizuri vinajengea Zanzibar Kwa fedha za Tanganyika
Huku Tanganyika tupo kama mazuzu,
Uwanja wa Arusha hadi Leo Bado
Uwanja wa Dodoma Bado

Tukumbuke Rwanda halali ana viwanja vikubwa na anajua laZima Tanganyika atanyanganywa
View attachment 3542045
Samia akipokwa kuandaa Afcon itakuwa bomba sana
 
Tanzania kipaumbele chetu kwa sasa ni katiba mpya ili tufanye uchaguzi nchi ipate viongozi halali nchi iweze kusonga mbele kutoka kwenye mkwamo.

Mambo ya sijui Afcon sio kipaumbele chetu na bila katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki hayo mashindano ya Afcon yatabaki kutizamwa na kunguru, mwewe na baadhi ya machawa wa Samia.
 
Ule wa dodoma upo 2% hadi sasa, wa Arusha wamesema upo kwenye 75%.

Mimi kuna mambo mawili matatu najiuliza, viwanja kama CCM Kirumba, kile cha Arusha cha siku zote etc ni kwanini visifanyiwe maboresho vikawa vya kisasa zaidi kuliko kujenga vipya kwa gharama kubwa sana?

Au hizo tenda za viwanja vipya kuna 10% za watu?
Kwa TZ viwanja vitakavyohusika kwa michezo ya afcon ni SAMIA, MKAPA NA AMAN TU, huo wa DODOMA auhusiki na afcon na hata kujengwa sidhani kama washaanza.
 
Back
Top Bottom