Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,388
- 23,036
Ibada ambayo muabuduji haielewi ina maana yoyote?Sio hizo alama zipo kwa bahati mbaya,zina maana yake,ila zimefichwa fichwa zinahitaji uwe unajitambua kuelewa maana yake
papa anazitumia sana,ila wakatoliki wengi hawaelewi maana yake.
Alama za kumuwakilisha/kuabudu shetani.
Halafu kuna uhusiano gani kati ya kupunga mkono na kumuabudu shetani?
Wewe haujawahi kupunga mkono hivyo?