huwa hatunywi chai zetu ni kuanzia saa sabaChai mmekunywa wakuu
Sio hizo alama zipo kwa bahati mbaya,zina maana yake,ila zimefichwa fichwa zinahitaji uwe unajitambua kuelewa maana yake
Ukatoliki ulikuwepo kabla ya hizo picha hivyo hizo picha zimeuiga ukatoliki. Hata hayo madhehebu mnayosali ni project za watu mkuu na ndio mana hata ww unaweza anzisha project Yako ya kanisa lako.Sio hizo alama zipo kwa bahati mbaya,zina maana yake,ila zimefichwa fichwa zinahitaji uwe unajitambua kuelewa maana yake
papa anazitumia sana,ila wakatoliki wengi hawaelewi maana yake.
Alama za kumuwakilisha/kuabudu shetani.
Ukatoliki ni wa juzi tu, umerithi tamaduni za rome ya kipagani,kutoka pagan rome ndio ikaja rome ya kikatoliki.Ukatoliki ulikuwepo kabla ya hizo picha hivyo hizo picha zimeuiga ukatoliki. Hata hayo madhehebu mnayosali ni project za watu mkuu na ndio mana hata ww unaweza anzisha project Yako ya kanisa lako.