Kuna urafiki mkubwa Kati ya pesa na matatizo

Matatizo gani yanayikukuta wakati salary ikikaribia isijekuwa ni kuzidisha kiwango cha bia ukaandikiwa deni
Matatizo yakijamii.Misiba,magonjwa na majanga mengine yanayotokea bila kupangwa
 
Heshima kwenu wakuu...

Napata shida Sana kwenye kuelewa hili Jambo.Binafsi nafanya shughuli ambazo malipo yake ni ya mwisho wa mwez.

Napanga bajeti zangu vizuri kuwa nikipokea pesa nitafanya jambo flani Ila Cha ajabu kila ikifika karibu na huo mshahara lazima litokee jambo au tukio linalohitaji nusu au zaidi ya nusu yakipato changu. Baada ya mshahara (ukiisha),hakuna tatizo lolote linalojitokeza linalohitaji pesa.

Hili swala nikwangu tu ama matatizo yakigundua unavipesa nayo yanaibuka kutoka huko yalipokua?
Uko sahihi kabisa,Kuna mtu nilikuwa nimemkopesha kiasi fulani cha Pesa, asubuhi ya leo akanitumia,hela ilipoingia tu dk 5 nyingi,Simu ya kwanza nipo hospital vipimo tayari dawa hela ya dawa sina,Simu ya pili maelezo meeengi ila yanahitajika hela.......na si mara ya kwanza, nisipokuwa na hela fresh tu.....nikiwa nazo tatizo......ila saizi nimeamua kuwa kauzu tu maana nilipiga Hesabu mwezi wa 4 nikakuka nimetumia kama 327,000/= ,nimekundua saizi bila ukauzu haohao ninao wachekea leo Kwa kuwapa,watanicheka baadaye
 
Hiyo inaitwa chuma ulete huku tuzile...
 
Cha Kwanza mlinzi wa Mali zetu ni Mungu na Ili akulindie Mali zako inatakiwa usiwe mtu wa dhuruma, hakikisha hudaiwi mali za dhuruma kama umekopa kuwa mwaminifu kurudisha na jambo lolote la dhuruma usifanye hapo Mali zako zitalindwa na Mungu, pili jitahidi kutoa misaada au sadaka kwa kipimo kidogo na kiasi kinachobaki tatua bajeti zako au hudumia familia yako ndo wajibu Mungu aliokupa maana asiye tunza familia yake ni kwamba amekana wajibu Mungu aliomupa na ni kama mchawi anayeitakia familia yake au kizazi chake mabaya hivyo kukosa baraka za Mungu, naamini ukienda na hizo kanuni kipato chako kinatunzika.
 
Uko sahihi kabisa,Kuna mtu nilikuwa nimemkopesha kiasi fulani cha Pesa, asubuhi ya leo akanitumia,hela ilipoingia tu dk 5 nyingi,Simu ya kwanza nipo hospital vipimo tayari dawa hela ya dawa sina,Simu ya pili maelezo meeengi ila yanahitajika hela.......na si mara ya kwanza, nisipokuwa na hela fresh tu.....nikiwa nazo tatizo......ila saizi nimeamua kuwa kauzu tu maana nilipiga Hesabu mwezi wa 4 nikakuka nimetumia kama 327,000/= ,nimekundua saizi bila ukauzu haohao ninao wachekea leo Kwa kuwapa,watanicheka baadaye
Mkuu Kama unapitia hyo Hali naamini maumivu yake unayajua.Wengine naona wanahisi ni hekaya.

NB:Anaejua maana ya hekaya anisaidie[emoji23]
 
Sisi wenye extended family Hilo ni changamoto ya kila siku,hata kama huna kitu unamudu kubadilisha mboga tu........watataka na ulichonacho kidogo ugawane nao.

Watu wakisema huku nje kugumu ni wachache wanaelewa,mtu elf 10 tu mpaka aipate ngumu
 
Heshima kwenu wakuu...

Napata shida Sana kwenye kuelewa hili Jambo.Binafsi nafanya shughuli ambazo malipo yake ni ya mwisho wa mwez.

Napanga bajeti zangu vizuri kuwa nikipokea pesa nitafanya jambo flani Ila Cha ajabu kila ikifika karibu na huo mshahara lazima litokee jambo au tukio linalohitaji nusu au zaidi ya nusu yakipato changu. Baada ya mshahara (ukiisha),hakuna tatizo lolote linalojitokeza linalohitaji pesa.

Hili swala nikwangu tu ama matatizo yakigundua unavipesa nayo yanaibuka kutoka huko yalipokua?
Pesa ishikwa kwenye mikono na kuingia kwenye mifuko iliyotoboka...kuna vitu jaribu kuangalia kama unavifanya kwa usahihi
Je unaheshimu chakula? Kuna watu hawaheshimu chakula kala kidogo anatupa
Je ni mfujaji wa chochote? Kinywaji? Nguo? Muda?
Je unatoa zaka ama sadaka?
Je unasaidia wengine?
Je unauheshimu uumbaji?

Baraka na laana ziko kwenye hayo mambo
 
Mkuu nashukur kw kuniuliza haya maswali
Kwanza uumbaji nauheshimu labda Kama Kuna namna yakuuheshimu tofauti nahuu ninaofanya(Mungu wa mbinguni).
Pili kuhusu zaka na sadaka nikiri tu kuwa japo naenda kanisani Ila Nina kaudhaifu flani kwenye eneo la utoaji zaka na sadaka.
Tatu,kuhusu kusaidia najitahidi kusaidia kwani hadi saiv wazazi na wadogo zangu wananitegemea angalau kwa 80%.
Mwisho,naomba unishauri nianze nalipi mara moja;Kuheshimu uumbaji, kutoa zaka nasadaka , kusaidia wengine ama nifanye vyote kwa pamoja?
 
Kwenye mapato ysko toa 10% kama sadaka.. Kisha nashauri OGEA CHUMVI YA MAWE walau kwa hizi wiki 2 zilizobaki kisha baada ya mwisho wa mwezi lete mrejesho
 
Mkuu Chumvi ya mawe ndo hii tunaiita magadi au ni chumvi ya kawaida?
 
Kwenye mapato ysko toa 10% kama sadaka.. Kisha nashauri OGEA CHUMVI YA MAWE walau kwa hizi wiki 2 zilizobaki kisha baada ya mwisho wa mwezi lete mrejesho
Shukrani mkuu.Hii chumvi yamawe nitaiulizia haraka iwezekavyo
 
Back
Top Bottom