Kuna urafiki mkubwa Kati ya pesa na matatizo

Kuna urafiki mkubwa Kati ya pesa na matatizo

Mkuu nashukur kw kuniuliza haya maswali
Kwanza uumbaji nauheshimu labda Kama Kuna namna yakuuheshimu tofauti nahuu ninaofanya(Mungu wa mbinguni).
Pili kuhusu zaka na sadaka nikiri tu kuwa japo naenda kanisani Ila Nina kaudhaifu flani kwenye eneo la utoaji zaka na sadaka.
Tatu,kuhusu kusaidia najitahidi kusaidia kwani hadi saiv wazazi na wadogo zangu wananitegemea angalau kwa 80%.
Mwisho,naomba unishauri nianze nalipi mara moja;Kuheshimu uumbaji, kutoa zaka nasadaka , kusaidia wengine ama nifanye vyote kwa pamoja?
sidhani kama unauheshimu uumbaji wa mungu kwa hii tabia yako
 
Utafiti mdogo nilioufanya ni kwamba watu wanaotokewa na hali hiyo sio watoaji wazuri wa misada au sadaka, hivyo pesa zao hiyo ndio staili yake ya kupotea
 
Utafiti mdogo nilioufanya ni kwamba watu wanaotokewa na hali hiyo sio watoaji wazuri wa misada au sadaka, hivyo pesa zao hiyo ndio staili yake ya kupotea
Binafsi sibishani na hili.Nimekua mchoyo kwa Mungu pengine ndosababu ya yote.
Hata hivyo sijawahi kuona mtu aliyefirisika kwa kutoa sadaka au misaada.
Nimejifunza kitu mkuu!
 
Utafiti mdogo nilioufanya ni kwamba watu wanaotokewa na hali hiyo sio watoaji wazuri wa misada au sadaka, hivyo pesa zao hiyo ndio staili yake ya kupotea
Mimi utafiti niliofanya siyo sadaka bali ni dhuruma, Kuna watu wanaogopa sana hizo chumvi, mafuta, sadaka wanatoa lakini wanafanya dhuruma sana kitu kinachofanya wasifanikiwe hilo tu, Bora ufanye mikataba na shetani ujulikane upo upande upi kuliko uwe vuguvugu yaani unapenda kwa Mungu huku unadhurumu au ukikopa hulipi alafu unaoga chumvi, kama kipato ni kidogo toa sadaka kidogo na kinachobaki jitendee haki Ili usidhurumu hapo ndo mafanikio na ulinzi wa Mungu ulipo, mambo ya kumwaga chakula Wala siyo kitu kama mchawi hajakuonea na kukuloga maana kula na kusaza kwa watu wa Mungu ni ahadi kwao.
 
Mi naongelea walio real,sio hao unaowaongelea
 
shukuru Mungu kwa kukuwezesha wakati wa matatizo
Nina waza kwa namna tofauti kidogo.

Huenda katika harakati zako uliwahi kujipatia riziki kwa njia isiyostahili na kusababisha masononeko kwa mtu mwingine. Ni aidha upatane naye kama unamjua au ufanye ibada ya toba(kwa imani yako). Ikibidi toa sadaka ili maombi yako yaweze kupokelewa.

Upande mwingine ni kwamba inawezekana una moyo wenye huruma kiasi cha kuchukulia kila tatizo la watu walio karibu nawe kama yako.

Huyu yuko sahii 100%

Mie ni muhanga wa yote mawili

Namshukuru Mungu kwa la pili, na namuomba Mungu aninusuru na la kwanza
 
Inategemea unadili vipi na hayo matatizo kwa sababu kadri unavyokuwa na pesa hata tatizo dogo unahisi linahitaji pesa lakini usingekuwa na pesa na tatizo lilelile likakujia Wala hutotoa pesa kwa sababu Hauna na litapita. Eg umetokea msiba wa ndugu coz pesa imeingia ya mshahara utaona kuchangia 20,000/= ni ndogo utatoa laki lakini usingekuwa na huo mshara hiyohiyo 20,000/= ungeona ni kiasi sahihi kabisa cha mchango. Jifunze kupotezea baadhi ya matatizo
 
Lazima ujue pesa unazipataje...

Ulipata kwa Mungu...

Au ulipata kwa waganga...

Au mizimu ya kwenu...

Kama ulipata kwa Mungu unapaswa utoe sadaka, kama ulipata kwa waganga pia unatoa sadaka, hata mizimu nayo intake sadaka.
 
Mama mchungaji uko vizuri sana.
 
Back
Top Bottom