sepema
JF-Expert Member
- Jun 13, 2019
- 603
- 1,011
Heshima kwenu wakuu...
Napata shida Sana kwenye kuelewa hili Jambo.Binafsi nafanya shughuli ambazo malipo yake ni ya mwisho wa mwez.
Napanga bajeti zangu vizuri kuwa nikipokea pesa nitafanya jambo flani Ila Cha ajabu kila ikifika karibu na huo mshahara lazima litokee jambo au tukio linalohitaji nusu au zaidi ya nusu yakipato changu. Baada ya mshahara (ukiisha),hakuna tatizo lolote linalojitokeza linalohitaji pesa.
Hili swala nikwangu tu ama matatizo yakigundua unavipesa nayo yanaibuka kutoka huko yalipokua?