Kuna update zozote kuhusu Chidi Benz?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,905
45,337
Naomb kujua kama Chid Benz alivyokamatwa Dodoma..ameshapewa dhamana...au bodo yuko Conduct ..au yuko Jera.....we miss u Chid Benz.
 
Ukipata naomba nitag na mm.i'm his huge fan,chid anatuangusha but we still with him for the longest time
 
Naomb kujua kama Chid Benz alivyokamatwa Dodoma..ameshapewa dhamana...au bodo yuko Conduct ..au yuko Jera.....we miss u Chid Benz.
Jana walisema kwamba bado wanamshikilia na uchunguzi ukikamilika atapandishwa mahakamani akiwa na wenzake watatu akiwemo mpenzi wake
 
Huyo jamaa sijui kwanini wanamlealea wakati wanamkamata na vithibitisho, awekwe ndani mwaka akili irudi
 
Back
Top Bottom