Wakuu naomba kuuliza hivi humu jamiiforum kuna kijana yeyote ambaye yupo chini ya miaka 30 ambae anamiliki gari na nyumba.Yani ambae ametafuta kwa jasho lake bila kupewa au kurithi.
Nimeuliza hivi kwa sababu mimi nina miaka 25 na ndoto zangu ni kumiliki gari na nyumba kabla Sijaoa.Lakini kila siku zinavyo sogea naona ndoto inakua ngumu kutimia.
Nikipita barabarani au kwenye kumbi za starehe naona vijana wadogo wamepaki magari yao, basi roho yangu inaumia sana.
Hivi inawezekana kweli au ni ndoto za mchana hizi ninazo ota.
100% truth; I was 25 niliponunua gari yangu ya kwanza, nilianza ujenzi nilipofika 27. So, inawezekana. Ila sio rahisi sana
Kumbe kazi ya ungariba inalipa.Ndio ninavyovyote hivyo na ni under 27.
Hmm.. Huko mambo ya kufukiwa hapana asee. Yaan uhai wangu utoke kwa ajili ya manufaa ya watu wengine.? Big NooNjoo 'machimboni' ujionee unaweza kujutia ni kwanini nilienda chuo kusoma mavitu magumu kinoma wakati short cut ya maisha ipo huku! Yaani miaka 22 wewe tayari ni 'fogo' unaye itwa 'mzee' 'mkurugenzi'
Na huyo kwenye avatar ni wewe Mkuu?100% truth; I was 25 niliponunua gari yangu ya kwanza, nilianza ujenzi nilipofika 27. So, inawezekana. Ila sio rahisi sana