Sioni Kama Kuna Umuhimu Sana Haswa Kibongobongo Kwani Nina Uzoefu Wa Watu Wengi Wenye Magari Yao Huwa Wananipiga Mno Mizinga Ya Kununulia Wese Na Sasa Nimechoka Na Nimewachoka Na Kuna Mijitu Tulipata Pesa Pamoja Na Zilizo Sawa Sawa Lakini Yenyewe Ikakimbilia Kununua Magari Huku Mwenzao Nikizitumia Pesa Zile Kujiendeleza Kielimu Na Sasa Mimi Nakaribia Kumaliza Shule Yangu Wao Wanaendelea Tu Kuteseka Na Uchumi Mbovu Haswa Baada Ya Kutumia Pesa Nyingi ktk Kutunza Hayo Magari Yao Na Ilinibidi Niwavunje Moyo Baada Ya Kuwachoka Kwa Mizinga Yao Kwa Kuwaambia Kuwa Yoyote Atakayetaka Msaada Wangu Wa Pesa Za Wese Kwa Gari Yake Basi Anipe TIGO Yake Na Wote Sasa Wamenikimbia Kitu Ambacho Kimekuwa Ni Nafuu Kwangu.
Nadhani Kuwa Na Gari Ni Vizuri Mno ILA Kama Uchumi Wako Siyo Tu Tegemezi Kwa Mshahara Wako Na Kwa Uzoefu Wangu Vijana Wenzangu Wengi Tunanunua Magari Kwa UFAHARI Tu Na SIFA Lakini UCHUMI Wao Ni HOHE HAHE! Tubadilike Na Kwa Mlio Na Magari Hongera Zenu Ila Mimi GENTAMYCINE Sasa Nimeshakuwa Addicted Kwa DALADALA.
Inawezekana ndiyo kuna umuhimu, kwa sababu unaona kuna boti/kivuko kinaongoja. Inawezekana hapo ni nyumbani tu lakini shughuli zake huzifanyia kwingine.
Inawezekana ndiyo kuna umuhimu, kwa sababu unaona kuna boti/kivuko kinaongoja. Inawezekana hapo ni nyumbani tu lakini shughuli zake huzifanyia kwingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.