nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Wanasema alizaa na Kitwana Kondo aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar; Ambaye alikuwa Mzee wa SAIGON ambapo ndio Kikwete akiwa kijana alikuwa pia anakwenda, na Kitwana Kondo alikuwa anamsaidia Sana Mzee Mwinyi kupangua Upinzani Mwingi wa JK Nyerere
Ndio Connection za Kikwete kuwa Rais zikaanza na Kitwana akataka Sophia Simba atunzwe kama shukrani...
Ndio Connection za Kikwete kuwa Rais zikaanza na Kitwana akataka Sophia Simba atunzwe kama shukrani...