Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
you're right here, gays dont change dini when get married.. . . (Homosexual excluded!)
sijui maudhui ya hiki swali but remember hakuna guarantee in life; mnaweza kuwa imani tofauti na mkazeeka pamoja, na mnaweza kuwa imani sawa na mkabwagwana baada ya mwaka LOL. since tunaweza funga ndoa za serikali/bomani its not really an issue kama haukotayari kubadili diniTukiachana na sababu zingine, dini pia imekuwa ni kikwazo kwa baadhi ya watu.Suala la dini limeshafanikiwa kuzuia ndoa tarajiwa kadhaa,Hii inatokana na utofuti wa dini/imani za watarajiwa wenyewe.Sitajikita sana kwenye ushawishi/msukumo wa familia na ndugu kwa ujumla,Ila kuna familia/wazazi wasotaka/wasokubali wanao waoane na mtu wa dini/imani tofauti na ya kwao.Lakini, pamoja na yote hayo,Kuna baadhi ya wapenzi ambao huchukua mbadala wa kubadili dini/imani zaoIli tu . . .waweze kuishi na hao wapendwa wao(wapenzi).Wengine huridhiwa na wengine hulazimisha tu kadri mioyo yao inavyowaambia!Twajua kwamba ndoa haina assurance ya kulast forever though wengi wanapenda iwe hivyo.Na kutodumu kwa ndoa inategemea vitu tofauti tofauti vitokee. . . aidha;
Tokana na hayo, nimejikuta napata swali,Hivi kuna umuhimu gani wa kubadili dini ilihali ndoa yenyewe ni prabability????Pengine mimi nimelitazama hili suala kivingine. . . .na sikupata umuhimu wake.Sijui nyie wenzangu mnalizungumziaje hili suala la kubadili dini kwa kupata nafasi ya ndoa? Ni nini hasa umuhimu wake, tukiitazama chance ya kusurvive kwa ndoa?
- Kuachana (tutazame kuachana kwa sababu ya huyo huyo ulobadili dini kwa ajili yake)
- Kifo (cha mwenza mmoja. . . specifically ulomfata))
- Mwenza mmoja kurudi kwenye dini yake (pengine imekuwia vigumu kubadilika kiimani)
Dini ni unganiko la kiimani kati ya mtu na Mungu.
Ndoa ni unganiko la kimwili na kiroho ambalo watu wawili huunganishwa na Mungu.
Sasa imani inapokua tofauti baina ya watu wawili kwa Mungu, kwa urahisi tu utaona hata unganiko lao litakua na mushkeli.
Kwanza kabisa kama wewe unamsimamo wa dini yako usitafute mapenzi na mtu mwenye dini tofauti. Siyo rahisi mtu kubadili na hata akibadili itakuwa just for the sake of it. Lakini ile imani ya ukaribu na mungu kwakweli inakuwa shida.
Na hata ikiwa ndoa ya kiserikali matatizo yatakuwa pale watoto watakapozaliwa washike dini ipi.....?
Mbona umechanganya mambo hapa?...na wanaojibi hawajui wanajibu nn!...unauliza umuhimu wa kubadili dini ili kufunga ndoa au unasema ndoa kudumu ni bahati kwa hiyo hakuna haja ya kubadili dini.$Salaam zenu wana jamvi!
Katika jamii zetu tumekuwa tukishuhudia vikwazo mbalimbali katika safari ya mapenzi,
Hasa pale wawili wapendanao wanapotaka kuishi pamoja.
Hapa nazungumzia kwa aina yeyote ile ya ndoa . . . (Homosexual excluded!)
Tukiachana na sababu zingine, dini pia imekuwa ni kikwazo kwa baadhi ya watu.
Suala la dini limeshafanikiwa kuzuia ndoa tarajiwa kadhaa,
Hii inatokana na utofuti wa dini/imani za watarajiwa wenyewe.
Sitajikita sana kwenye ushawishi/msukumo wa familia na ndugu kwa ujumla,
Ila kuna familia/wazazi wasotaka/wasokubali wanao waoane na mtu wa dini/imani tofauti na ya kwao.
Lakini, pamoja na yote hayo,
Kuna baadhi ya wapenzi ambao huchukua mbadala wa kubadili dini/imani zao
Ili tu . . .waweze kuishi na hao wapendwa wao(wapenzi).
Wengine huridhiwa na wengine hulazimisha tu kadri mioyo yao inavyowaambia!
Twajua kwamba ndoa haina assurance ya kulast forever though wengi wanapenda iwe hivyo.
Na kutodumu kwa ndoa inategemea vitu tofauti tofauti vitokee. . . aidha;
Tokana na hayo, nimejikuta napata swali,
- Kuachana (tutazame kuachana kwa sababu ya huyo huyo ulobadili dini kwa ajili yake)
- Kifo (cha mwenza mmoja. . . specifically ulomfata))
- Mwenza mmoja kurudi kwenye dini yake (pengine imekuwia vigumu kubadilika kiimani)
Hivi kuna umuhimu gani wa kubadili dini ilihali ndoa yenyewe ni prabability????
Pengine mimi nimelitazama hili suala kivingine. . . .na sikupata umuhimu wake.
Sijui nyie wenzangu mnalizungumziaje hili suala la kubadili dini kwa kupata nafasi ya ndoa?
Ni nini hasa umuhimu wake, tukiitazama chance ya kusurvive kwa ndoa?
uko sawa kabisa best.
Tukumbuke ukiwa ndoani sio kila siku ni sikukuu. Sasa ikitokea mwenza amekuboa ama mambo hayaendi sawa hata hiyo dini uliyomfuatia nayo utapoteza interest. Believe me you, ukipenda mtu kwa moyo wote unafanya mambo nje ya uwezo wako. Hata ikifika umeachana nae unabaki unajishangaa uliwezaje! Hukawii kuanza kuichukia na dini yake.
Ingia kwenye dini.kwa sababu unaipenda hiyo dini na unautafuta uso wa mungu. Usifanye kwa ajili ya mali wala mwenza, utachemsha tu
(nikiingia kwenye uislamu ama usababto, siku mwenza akiniudhi naenda kujipooza na kitimoto kama kg 2. Hapo nimemkomoa allah ama mume?)
mwisho wa siku jamani Mungu ni mmoja haijalishi wewe ni wa imani gani...njia ni ileile, na kwa wawili wanaohitaji kuishi pamoja km mume na mke wakiwa na imani tifauti, Mungu ndiye huwaunganisha, na hapo ndipo wataamua wafunge ndoa hiyo kwa imani gani ili basi familia watakayoianzisha iwe na msomamo wa imani moja ili kuondoa matatizo hasa kwa watoto. Pia mkono wa Mungu huwepo pale ambapo wawili watafunga ndoa kwa imani moja tofauti na huko bomani kwani hakuna mkono wa Mungu, ni kisheria za kidunia tu. Kwa upande wangu naona ni sawa tu as Mungu ni mmoja tu!
Ndugu yangu inaonekana hujasoma vitabu vya dini vya pande zote vizuri, kuna tofauti kubwa sana kati ya ALLAH ambaye ni Mungu wa waislam na JEHOVA ambaye ni Mungu wa wakristo, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa, soma vitabu acha uvivu
sasa wewe unayedai unajua vzr vitabu sijui umeelewa nini!!!jamani hayo ni majina tu Mungu aliyeumba waislam, wakristo, wapagani, sijui mafreemason huko, ndege, nyoka, mbingu, ardhi, na vitu vyote uvionavyo na usivyoviona aliyeumba ni mmoja tu na hakuna miungu wawili!! kasome vizuri ndio uje na hoja!
Hakika Mungu wa kweli ni mmoja tu alieumba mbigu na ardhi, na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, LAKINI wapo miungu wengi sana wanaoabudiwa hapa duniani, wakidhaniwa kuwa ndio Mungu wa kweli!
Love doesn't cost a thing nakubali bt ingawa tunaingia kwny mahusiana ya imani\dini tofauti nakujikuta hatusikii wala hatuoni[vipofu kwny mapenzi] lazima tuangalie na vizazi vyetu, to honest hizi ndoa za boman zinachanganya sana vizazi vyetu nakutufanya kupoteza mwelekeo halisi na thabiti ktk Dini\Imani zetu, Utakuta Mtoto\Kijana akijita Mwislam Mkristo hali yakuwa hajui wapi ni sahihi nakuamua kuchanganya kote Msikitini na Kanisani yote kwake ni sawa tu Ili hali wazazi wenyewe wanashindwa kumpa muongozo thabiti wa dini yake halisi nakusubilia Mtoto\Watoto wakizaliwa kuanza kuwapachika majina kwa zamu huku wakigombania huyu aitwe Juma na mwingine aitwe Rose jst mnaenda kwa style hiyo nakusema wakitimiza miaka 18 watachagua wenyewe wapi ni sahihi pakwenda.For sure kwa style hii nivigumu tunawachanganya mtoto\watoto kuwaongoza kiimani\dini nakushindwa kuwalea nawakupa maadili yaliyo bora dini zaidi,Hii yote nikutokana na tofauti za dini walizonazo Wazazi.Tusijiangalie sisi tu ktk mahusiano tulionayo ama tunayoingia bt hii ni kwale wenye future na wapenzi wao, Tujaribu focus zaidi kwenye vizazi vyetu tunavyovichanganyaJst tuwe makini nakuliangalia kwa mtazamo chanya pindi tunapojiingiza kwny mahusiano ya dini tofauti nakuwa wawazi kwa tuwapendao ili kuweza kuepuka madhara ya hiya.Salaam zenu wana jamvi!