Kuna ukweli

Kuna ukweli

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
1380292371618.jpg
 
Sie tena hata huo mda ulowekwa apo mdogoooo mpaka tusemezane na kioo ata tukitoka si leo
 
.......
 
Attachments

  • 1380279845903.jpg
    1380279845903.jpg
    5.6 KB · Views: 501
Duh, nina mashaka na huyo mwanamme. Yaani unaamka then unakunya na kujichamba na makaratasi (toilet paper) hata kuoga huogi unavaa nguo na kwenda kazini. Mhhhh, hiyo harufu sijuwi.
 
Ha ha ha...umepunguziwa process ameoga in between hapo au zingekuwa picha nyingi lol
 
Duh, nina mashaka na huyo mwanamme. Yaani unaamka then unakunya na kujichamba na makaratasi (toilet paper) hata kuoga huogi unavaa nguo na kwenda kazini. Mhhhh, hiyo harufu sijuwi.

Hujafaham tu? Kwani lazim ziekwe picha zote? Kama kwa picha tu basi kwa wote hao me na ke hata dkk 1 hawafikishi mana wewe mtazamaji unaziangalia pengine within 30 seconds ushamaliza. Hio ni kuoneshwa tu kuwa wanawake wanachkua mda kujiandaa kwa ajili ya kutoka
 
Mkuu usitokwe na povu mbona nimelewa kitambo tu. You can't just read everything and swallow it as is, there's got to be some humor too.
 
kuna ukweli aisee.......mi nimeweka alarm kabisaaa kwamba nikiamka

baada ya masaa fulani niwe nimeshasepa!!!!!
 
Ukweli mwingine ni kwamba huyo wa7.10 anaondoka muda huohuo, ila huyo wa 9.30 weee! atahakikisha kwanza wanaobaki nyumbani wameandaliwa vya mchana. Ataondoka 10.30.
 
ndio kuna ukweli hapo,coz hao wenzetu wakikaa kwenye dressing table utadhani wanaumbwa upya masaa kibao!!?
 
Back
Top Bottom