Habari,
Je, kuna ukweli wowote kuhusiana na sms iliyotumwa tarehe 22/08/2023 kuhusiana na usahili?
sms inasomeka hivi:
"Tafadhali fika VETA Chang'ombe kwa usahili tarehe 25/08/2023 saa moja asubuhi ukiwa na kitambulisho kati ya hivi, NIDA/mpiga kura/leseni ya udereva/barua ya serikali ya mtaa na picha 3 kwa mawasiliano zaidi 076898** au 076898**"
Nimejaribu kupiga hizo namba hazipatikani kabisa. sms ilikuja bila namba na imeandikwa "KCB". mwenye uelewa na hili naomba anifahamishe.