Kuna ukweli kama ukioa mwanamke aliokuzidi umri?

Kuna ukweli kama ukioa mwanamke aliokuzidi umri?

Hi ni concept iliyojengeka kwamba mwanamke anawahi kuzeeka kuliko mwanaume.Lakini kiuhalisia ukiuliza nini tafsiri ya uzee,watu wengi watakwambia ni kuchakaa rather than umri! Humu ndani ukiwauliza ni wangapi wanamzimika sana Beyonce unaweza kushangaa majibu!Lakini ktk hao uliza sasa umri wao,utacheka mpaka basi!

I wish siku moja wabinti nao waseme wanataka kuolewa na vijana wa umri wao,kisha nione hii mibaba iliyojihalalishia kubeba vibinti kwa kisingizio cha kuchelewa kuzeeka itakavyotoa mimacho na kufa kwa pressure.

Mimi ningeulizwa,ningeprefer kuoana ktk umri sawa.Hizi mambo zingine zimetokana na mfumo dume tuliojijengea kwamba ktk kuoa ni mwanaume mwenye last decision.Mwisho wa siku mwanaume walioshindwa kutunza wake zao,wakajenga myth kwamba mwanamke anazeeka mapema kuliko mwanaume,which is not true.

Ila mimi naamini kutokana na tabia yetu ya kupenda kuiga vya wazungu,utafika wakati(tena si mbali) hizi mambo za sijui serengeti boys au kulelewa zitakoma.Watu watajiachia tu kula ile kitu roho inapenda.Ukitaka kuchukua bibi hayaa,ukitaka kibabu, wewe tu naroho yako! Kwani nini bwana mbona mbona watu wanaruhusu ndoa za jinsia moja,kwanini hilo nalo lishindikane?!
 
fresh unaweza kuoa tu mbona mimi na mwenzangu nimemzidi miezi negative 18
 
Ndugu yangu kuzidiana umri kwa mume na mke siyo issue. Ni vizuri lakini tofauti isiwe kubwa sana. Hata wewe mwanamume si vizuri kuoa mke uliyemzidi 20 years or more ingawa imekuwa inafanyika sana.

Ama kuhusu amani ni jinsi mnavyoheshimiana. Hata ukioa msichana mdogo ukamheshimu akakuheshimu mtaishi kwa furaha. lamsingi anza wewe kumheshimu mwenzio bila kumnyanyasa kutokana na umri wake naye atakuheshimu.
 
Kweli m'me umri kuwa mkubwa kwa m'ke inaashiria woga!kwamba nikutafuta urahisi wa kutoa amri pasipo kutarajia challenge kutoka kwa mke kwani umri wake na akili yake bado haijapevuka kama ya m'me.hivyo mtafuta mali kwa sehemu kubwa ni mume hii imepelekea jamii kumwona mwanamke kuwa ni hana haki katika umiliki wa mali pindi mme anapofariki,ktkt jumla hiyo familia nzima mpaka watoto wanakosa furaha ya kweli kwani mama yao anaonekana kama mjakazi mbele ya baba.tafuteni amani ya kweli wale mliotayari ndani ya ndoa.na mliobado Umri sio kigezocha mafanikio.
 
Nikujulishe pia baadhi ya hao waliooa wanawake waliowazidi umri walifuata financial position waliyonayo wanawake. Wanapiga hesabu ya umri wa mwanamke alionao na akiishi naye labda miaka 10+ hivi lazima aage dunia hivyo yeye atabaki na mali zake. Sasa hapo ataoa tena kasichana. Piga hesabu kijana wa miaka 30 akaoa mwanamke ana miaka 50+ akikaa naye 10-15 years, mwanaume atafikisha 45 yrs, mwanamke atakuwa 65yrs. Na mkumbuke wakati huu wote hawa jamaa huwa wanakuwa na nyumba ndogo. na zina watoto, wanazilea kimya kimya. hata mke akifa na 80yrs jamaa atakuwa 60yrs na watoto atakuwa nao tu. Ninao ninaowafahamu na wapo vizuri kwa style hii
 
There is something of the same phenomenon mfano kwangu mie sijui wengine trends shows that wanawake ambao nimedate tukiwa sawa age-wise, love gon good but ambao nimewazidi dah their mind are not even sexy.. Kinachotokea hawa walio na umri wanakuwa tayari wamemature thts why unawez mkafanya mambo ya kimaendeleo! Lakini kama umekuja kuomba ushauri kwa mfumo wa swali nakushauri oa mwanamke ambae unampenda na atakupenda, kama mwanamke hakupendi hata kama yupo chekechea achana nae utateseka kaka angu!

Love,love love,a very misunderstanding word.But 2 me in love,action speak louder than words n always true love never ask why.
 
uzee noma usidhubutu wakati visichana vidogo kila siku vinatangaza na kutoa namba ili violewe, unaonekana wewe umeshindwa maisha ua unashindwa ku-to-ngo-za
 
Back
Top Bottom