Kuna ukweli hapa?

Kuna ukweli hapa?

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,232
Wakuu natumia TRITEL kama ISP ya 3G yangu. Tatizo ni kwamba nikiweka bundle ya 100MB, inaisha ndani ya masaa 19 tu au chini ya hapo, WITHOUT DOWNLOADING. Mara nyingi nakuwa JF, FB, google au size nyingine kwa kusurf tu bila kudownload chochote, lakin inapofikia 15 to 17 online hours nakuta nimebakiwa na 2 to 3MB only katika bundle. Naomba kujua ndivyo matumizi yalivyo, au ndo naibiwa bila kujua.

CC: chief-mkwawa C6 MziziMkavu SIM
 
Last edited by a moderator:

tritel bado ipo?
 
Last edited by a moderator:
tritel bado ipo?

huwa naweka umts only setup, then nasearch network manually, na hapo zinakuja zote za 3g ikiwemo tritel, so naiselect kutokana na speed and response yake. Bt tatizo hapo kwenye bundle mkuu
 
Wakuu natumia TRITEL kama ISP ya 3G yangu. Tatizo ni kwamba nikiweka bundle ya 100MB, inaisha ndani ya masaa 19 tu au chini ya hapo, WITHOUT DOWNLOADING. Mara nyingi nakuwa JF, FB, google au size nyingine kwa kusurf tu bila kudownload chochote, lakin inapofikia 15 to 17 online hours nakuta nimebakiwa na 2 to 3MB only katika bundle. Naomba kujua ndivyo matumizi yalivyo, au ndo naibiwa bila kujua.

CC: chief-mkwawa C6 MziziMkavu SIM

yah mkuu inawezekana kabisaaaaaaa.

Hasa fb ya pc inakula sana bandwitch sababu ya picha. Hope una dashboard ya modem au kama ni simu unajua sehemu ya kuangalizia connection. Then ukianza kutumia kwenye dashboard click statistics utaona bandwitch yako inavoenda. Jumlisha download na upload data utapata idadi ya mb's ulizotumia
 
Last edited by a moderator:
Pokofame na chief-mkwawa fb na twitter uwa zina tabia ya auto refresh kila baada ya sekunde kadhaa hapo ndo kasheshe, hata kama hufungui page utakuta bundle yote chali
 
Last edited by a moderator:
Kuangalia kitu chochote kwenye mtandao ni downloading, ukiwa unacheki FB browser inadownload picha na text ili uweze kuziona, hivyo unafanya downloading na 100MB sio nyingi.
 
Back
Top Bottom