Kuna ukweli hapa

Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,186
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,186 2,000
Kwa mmiliki wa hospital ni hasara........wagonjwa wakipungua hospital itashindwa kujiendesha.........ndiyo maana ukienda hospital hasa za binafsi kila sehemu unayotaja unaandikiwa dawa.....kuna siku nilienda hospital moja ya binafsi doctor akaniandikia Septrine na Amoxilline ,kwauelewa wangu mdogo wa dawa nilipohoji akawa anakula kucha tu
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,929
Points
2,000
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,929 2,000
Wauza majeneza tunaruhusiwa ku comment kwenye huu uzi kueleza furaha ya BIASHARA YETU tunapopata wataje, HUZUNI tunapokosa wateja?
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,929
Points
2,000
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,929 2,000
Kwa mmiliki wa hospital ni hasara........wagonjwa wakipungua hospital itashindwa kujiendesha.........ndiyo maana ukienda hospital hasa za binafsi kila sehemu unayotaja unaandikiwa dawa.....kuna siku nilienda hospital moja ya binafsi doctor akaniandikia Septrine na Amoxilline ,kwauelewa wangu mdogo wa dawa nilipohoji akawa anakula kucha tu
hahaha, mie nishaenda hospitali moja ya binafsi tena ni kubwa tu (ina jina), nilikuwa najisikia maumivu kwenye tumbo mkono wa kushoto karibia na nyonga, nikafanyiwa ultrasound. Kwenye kupewa dawa nikapewa dawa za UTI (kumbuka sikupima hata mkojo wala nini zaidi ya ultrasound), nikapewa na dawa zingine ambazo sikujua ni nini. Nilivyofika nyumbani nikameza dawa halafu nikawasha pasi kuanza kunyoosha nguo zangu. Salaaale, ilikuwa kila nikinyoosha ndio usingizi unazidi. NIkaamua kuzima pasi na kuchomoa. Nililala fofofo. Nilipoamka, nikaona isiwe shida, nikakumbuka kuna kaka tulisoma naye, japo yeye alikuwa ni mfamasia wa hospitali ya mkoa fulani huku kanda ya ziwa, aliamua kusomea na fani nyingine zaidi ya huo ufamasia.
Nikamwelezea zile dawa zilivyo nitenda, pia nikamweleza na ugonjwa wangu. Akaniambia hebu nitumie sms ya jina la hiyo dawa, nikamtumia.
Uwiiiiiii, sikuamini alichoniambia!!! alisema hivi "weee...... (akitaja jina langu) mbona hizi ni dawa za vichaa? kwani wewe uliwaambia unaumwa nini? au mwonekano wako ukoje siku hizi....)

mxeweeeu, nilichofanya nilitupa yale madawa na yale ya UTI, sina hamu na hospitali za binafsi hata kama inapokea BIMA YA AFYA.
 
😁😁😁 nimecheka ila haya mambo hayachekeshi,kuna watu wanapata matatizo makubwa tu kutokana na kutumia dawa tofuti na ugonjwa
 
Mama_Aheshimiwe

Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Messages
2,396
Points
2,000
Mama_Aheshimiwe

Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2014
2,396 2,000
Dawa za vichaa...?

Hizi dawa zinatibu ukichaa kweli?
hahaha, mie nishaenda hospitali moja ya binafsi tena ni kubwa tu (ina jina), nilikuwa najisikia maumivu kwenye tumbo mkono wa kushoto karibia na nyonga, nikafanyiwa ultrasound. Kwenye kupewa dawa nikapewa dawa za UTI (kumbuka sikupima hata mkojo wala nini zaidi ya ultrasound), nikapewa na dawa zingine ambazo sikujua ni nini. Nilivyofika nyumbani nikameza dawa halafu nikawasha pasi kuanza kunyoosha nguo zangu. Salaaale, ilikuwa kila nikinyoosha ndio usingizi unazidi. NIkaamua kuzima pasi na kuchomoa. Nililala fofofo. Nilipoamka, nikaona isiwe shida, nikakumbuka kuna kaka tulisoma naye, japo yeye alikuwa ni mfamasia wa hospitali ya mkoa fulani huku kanda ya ziwa, aliamua kusomea na fani nyingine zaidi ya huo ufamasia.
Nikamwelezea zile dawa zilivyo nitenda, pia nikamweleza na ugonjwa wangu. Akaniambia hebu nitumie sms ya jina la hiyo dawa, nikamtumia.
Uwiiiiiii, sikuamini alichoniambia!!! alisema hivi "weee...... (akitaja jina langu) mbona hizi ni dawa za vichaa? kwani wewe uliwaambia unaumwa nini? au mwonekano wako ukoje siku hizi....)

mxeweeeu, nilichofanya nilitupa yale madawa na yale ya UTI, sina hamu na hospitali za binafsi hata kama inapokea BIMA YA AFYA.
 
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
731
Points
1,000
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
731 1,000
Ukweli upo,ndio maana ukienda hasa Private wanataka upime vipimo kibao na wanakwambia ukimaliza dawa uje tena tuangalie kama umepona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
1,058
Points
2,000
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2018
1,058 2,000
hahaha, mie nishaenda hospitali moja ya binafsi tena ni kubwa tu (ina jina), nilikuwa najisikia maumivu kwenye tumbo mkono wa kushoto karibia na nyonga, nikafanyiwa ultrasound. Kwenye kupewa dawa nikapewa dawa za UTI (kumbuka sikupima hata mkojo wala nini zaidi ya ultrasound), nikapewa na dawa zingine ambazo sikujua ni nini. Nilivyofika nyumbani nikameza dawa halafu nikawasha pasi kuanza kunyoosha nguo zangu. Salaaale, ilikuwa kila nikinyoosha ndio usingizi unazidi. NIkaamua kuzima pasi na kuchomoa. Nililala fofofo. Nilipoamka, nikaona isiwe shida, nikakumbuka kuna kaka tulisoma naye, japo yeye alikuwa ni mfamasia wa hospitali ya mkoa fulani huku kanda ya ziwa, aliamua kusomea na fani nyingine zaidi ya huo ufamasia.
Nikamwelezea zile dawa zilivyo nitenda, pia nikamweleza na ugonjwa wangu. Akaniambia hebu nitumie sms ya jina la hiyo dawa, nikamtumia.
Uwiiiiiii, sikuamini alichoniambia!!! alisema hivi "weee...... (akitaja jina langu) mbona hizi ni dawa za vichaa? kwani wewe uliwaambia unaumwa nini? au mwonekano wako ukoje siku hizi....)

mxeweeeu, nilichofanya nilitupa yale madawa na yale ya UTI, sina hamu na hospitali za binafsi hata kama inapokea BIMA YA AFYA.
Dah yako kali
 
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
1,058
Points
2,000
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2018
1,058 2,000
hahhahah, ila walinipa fundisho siendi hospitali ya binafsi, hata kama wanatoa chai na mkate uliopakwa blue band na jam kwa wagonjwa.
Mimi nakula mkate halafu nasepa
 
Ulirchdov

Ulirchdov

Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
71
Points
125
Ulirchdov

Ulirchdov

Member
Joined Apr 4, 2019
71 125
Kwa mmiliki wa hospital ni hasara........wagonjwa wakipungua hospital itashindwa kujiendesha.........ndiyo maana ukienda hospital hasa za binafsi kila sehemu unayotaja unaandikiwa dawa.....kuna siku nilienda hospital moja ya binafsi doctor akaniandikia Septrine na Amoxilline ,kwauelewa wangu mdogo wa dawa nilipohoji akawa anakula kucha tu
Kuna hospital fulani nilienda nikaandikiwa sindano kila siku kwa wiki moja, siku ya kwanza nilichomwa sindano siku ya pili nilipoenda nikamkuta nesi hana raha tukasalimiana nikamuuliza kwanini yupo katika hali ile akasema alikuwa amelala na hakuwa na raha kwasababu wagonjwa hakuna. Hapo ndipo nilipojua maana halisi ya bango lao lisemalo "SISI TUNAKUTIBU ILA MUNGU ATAKUPONYA"
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,186
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,186 2,000
Kuna hospital fulani nilienda nikaandikiwa sindano kila siku kwa wiki moja, siku ya kwanza nilichomwa sindano siku ya pili nilipoenda nikamkuta nesi hana raha tukasalimiana nikamuuliza kwanini yupo katika hali ile akasema alikuwa amelala na hakuwa na raha kwasababu wagonjwa hakuna. Hapo ndipo nilipojua maana halisi ya bango lao lisemalo "SISI TUNAKUTIBU ILA MUNGU ATAKUPONYA"
😁😁😁😁 Kwahiyo alifurahi kukuona mteja wake umefika
 
Forum statistics

Threads 1,285,928
Members 494,830
Posts 30,879,298
Top