Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,860
Weka facts zako Mkuu, maneno matupu hayavunji mfupaWanatafuta riziki kama watu wengine tu. Kuna sehemu nimekuta hiyo alkasus inauzwa na wanawake, ukifika Mbulu inauzwa na mkristo. Your opinion is unlogical!
Bujibuji nina miaka kadhaa tokea nijiunge na jamiiforum na kwa muda wote huo nimekuwa nikiona post zako na baadhi ya michango yako yaonyesha u mkongwe, lakini kwa hili inaonyesha ni kiasi gani unaporomoka ki uchunguzi uchambuzi na kimtazamo, hao uwaonao wengi wao kama si wote hawana tofauti na wauza kahawa, kuona wamevaa mavazi fulani hiyo si hukumu ya kwamba wao wanawezekana kuwa ni wafuasi wa kundi fulani, ukienda uganda kanzu ni vazi la kitamaduni la baganda, sijui na wao tuwahukumu vipi kwa kuvaa kanzu.Weka facts zako Mkuu, maneno matupu hayavunji mfupa
Weka facts zako Mkuu, maneno matupu hayavunji mfupa
Hii kitu ilianzia tanga/ pembroke baada ya huko ikaja dar. Hapa utakuwa umenielewa. Wenye vijiwe wengi vya kahawa wengi wa tanga wanakaa hivyo. Nadhani umenielewaWeka facts zako Mkuu, maneno matupu hayavunji mfupa
Well saidHapa kuna fikirisha sana, mimi ni mzawa na mkazi wa hapa Dar, tangu nimeanza kuwaona wauza alkasus sijawahi ona wamevaa t-shirts na trousers au shirts and shorts tofauti na wauza kahawa na Tangawizi,
Wauza alkasus mara zote huwaona wamevaa kanzu na vilemba huku miguuni wamevaa makobanzi au sandals, wamebeba thermos na vikombe vyeupe vidogo vingi vya plastics,,,,
Kweli inafikirisha sana Bujibuji
Wewe umeweka facts zipi mlamu!
Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.
Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.
Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?
Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?
Hebu tutafakari
[/QNa mimi najiulizaga kuna uhusiano gani kati ya wamiliki mabasi ya kwenda mikoani na udini. Maana 90% ya mabasi ya mikoani hupenda kuweka nyimbo za kwaya kwenye mabasi yao, bila kujali kwamba mabasi hayo wanapanda watu wa dini tofauti. Hapo sijawataja waubiri wao wanaopandaga njiani kuhubiria watu ndan ya mabasi. Mleta mada una idea yoyote kuhusu nlichouliza?Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.
Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.
Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?
Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?
Hebu tutafakari
Na mimi huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya wamiliki mabasi ya kwenda mikoani na udini. Maana 80% ya mabasi ya mikoani hupenda kuweka nyimbo za kwaya kwenye mabasi yao bila kujali kwamba mabasi hayo wanapanda watu wa dini tofauti. Hapo sijawataja waubiri wao wanaopandaga njiani kuhubiria watu ndan ya mabasi huku wakijua kwamba ndan ya mabasi hayo kuna abiria wa dini tofauti tofauti. Mleta mada una idea yoyote kuhusu hili swali ninalojiulizaga kila siku?Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.
Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.
Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?
Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?
Hebu tutafakari
Ni kweli inatafakafisha. Hivi karibuni nimekuta wamachinga wanauza mazaga zaga yako branded kama Alshabaab. Nikajiuliza kwa nini mamlaka husika zinaruhusu brand kama hiyo hata kama haihusiani na kikundi cha kigaidi? Vipi mtalii anayeijua alshabaab akikutana na hiyo brand, ataamini ni brand tu au ataamini propaganda za kuwa Tanzania ndo supplier wa vijana wanajiunga huko? Nafikiri tunapaswa kuwa macho zaidi.Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.
Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.
Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?
Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?
Hebu tutafakari
Kwa hiyo ukiwa na wake wanne ni lazima uwagegede wote daily?wa swahili wana TABIA ZA KUOA WAKE 4 so hivyo vitu lazima wavitumie sana.
MATUMIZI YA SUPU YA PWEZA KAHAWA NK ni vitu vya kawaida kwao.
NDOA NNE SI MCHEZO.
TANZANIA YA VIWANDA.
Bill of lading hazisomwagi ndio maana tunaingiza matajataka ya ajabu nchiniNi kweli inatafakafisha. Hivi karibuni nimekuta wamachinga wanauza mazaga zaga yako branded kama Alshabaab. Nikajiuliza kwa nini mamlaka husika zinaruhusu brand kama hiyo hata kama haihusiani na kikundi cha kigaidi? Vipi mtalii anayeijua alshabaab akikutana na hiyo brand, ataamini ni brand tu au ataamini propaganda za kuwa Tanzania ndo supplier wa vijana wanajiunga huko? Nafikiri tunapaswa kuwa macho zaidi.
Kuna mkoa kila nyumba ina shoga na mgangaNi kama wakamua juice ya miwa,, wengi ni kutoka zenji
Ni kama wauza nyama idodomya
Ni kama wauza kahawa, idodomya
Ni kama wakata majani ya ngombe hapa mjini wasukuma
Ni kama waendesha mkokoteni hapa mjini, sambaa
Ni kama wenye pesa hapa mjini chagga
Ni kama omba omba hapa mjini gogo
Ni kama wafuga kuku hapa mjini, kurya
Ni kama wamachinga hapa mjini, chinga
Ni kama wachoma/ wakaanga mdudu hapa mjini
Ni kama wakwea minazi hapa mjini, zaramo
Mwisho: Hakuna mzaramo ambae ni MBUNGE hapa mjini