Kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali ya kidini?

Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.

Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.

Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?

Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?

Hebu tutafakari
Jibu umepata?
 
Me nilimuona mmoja tanga hakua amevaa kanzu,,,alikua amevaa kawaida tu kama wanaouza kahawa labda inategemea na sehemu idk!
 
Bujibuji nina miaka kadhaa tokea nijiunge na jamiiforum na kwa muda wote huo nimekuwa nikiona post zako na baadhi ya michango yako yaonyesha u mkongwe, lakini kwa hili inaonyesha ni kiasi gani unaporomoka ki uchunguzi uchambuzi na kimtazamo, hao uwaonao wengi wao kama si wote hawana tofauti na wauza kahawa, kuona wamevaa mavazi fulani hiyo si hukumu ya kwamba wao wanawezekana kuwa ni wafuasi wa kundi fulani, ukienda uganda kanzu ni vazi la kitamaduni la baganda, sijui na wao tuwahukumu vipi kwa kuvaa kanzu.
Tusihukumu kitabu kwa sura ya jalada lake.

Pia tambua Answar sunna ni taasisi iliyosajiliwa serikalini kisheria na si itikadi fulani kama walio wengi wanavyofikiri.
Tafakari kabla ya hatua.
Mara zote ukweli unauma.

Umetwangwa na kitu kizito a sasa unalia lia
 
kweli wauzaji wa hii kitu ni waislam ,Wake 4 zamani watu walikuwa wanamudu kwa maisha ya sasa watu wanakula matakataka utaweza kuwatimizia Baja zao 4
 
alkasus ni kwajil yao jobless useless hopeless, mtu kwasiku anazunguka tu karibu na jengo la ibada anacheza bao na karata... Mtu wa aina hii ni mwehu mpuuzi hafai kuish
 
Bujibuji nina miaka kadhaa tokea nijiunge na jamiiforum na kwa muda wote huo nimekuwa nikiona post zako na baadhi ya michango yako yaonyesha u mkongwe, lakini kwa hili inaonyesha ni kiasi gani unaporomoka ki uchunguzi uchambuzi na kimtazamo, hao uwaonao wengi wao kama si wote hawana tofauti na wauza kahawa, kuona wamevaa mavazi fulani hiyo si hukumu ya kwamba wao wanawezekana kuwa ni wafuasi wa kundi fulani, ukienda uganda kanzu ni vazi la kitamaduni la baganda, sijui na wao tuwahukumu vipi kwa kuvaa kanzu.
Tusihukumu kitabu kwa sura ya jalada lake.

Pia tambua Answar sunna ni taasisi iliyosajiliwa serikalini kisheria na si itikadi fulani kama walio wengi wanavyofikiri.
Tafakari kabla ya hatua.
Hawa answari ndio chaka la wazee wa suicide vest..kaa mbali nao kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni kweli kabisa,binafsi mm cjawah kuinywa maana nawaona masuni wako barabaran wakitembea cjaona sehemu maalum.Kwann inahusishwa kidini masuni zaidi?anayesema kuna tofaut atuletee ushahid kwa picha.
 
Ni kama wakamua juice ya miwa,, wengi ni kutoka zenji

Ni kama wauza nyama idodomya

Ni kama wauza kahawa, idodomya

Ni kama wakata majani ya ngombe hapa mjini wasukuma

Ni kama waendesha mkokoteni hapa mjini, sambaa

Ni kama wenye pesa hapa mjini chagga

Ni kama omba omba hapa mjini gogo

Ni kama wafuga kuku hapa mjini, kurya

Ni kama wamachinga hapa mjini, chinga

Ni kama wachoma/ wakaanga mdudu hapa mjini

Ni kama wakwea minazi hapa mjini, zaramo

Mwisho: Hakuna mzaramo ambae ni MBUNGE hapa mjini
Selemani Jafo
 
Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.

Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.

Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?

Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu mengine ya kisiri wanayatekeleza?

Hebu tutafakari
Kwaiyo kuvaa Yale mavazi ya kanzu Ni kuwa na itikadi Kali ya kidini!? Acha bangi dogo
 
Back
Top Bottom