Ukimuona mdada hapa jamiiforums kaweka tangazo anatafuta mchumba hata kama yeye kaishia darasa la saba utasikia elimu kuanzia form six na kuendelea unatafuta form six na kuendelea au unatafuta mchumba?
Ondoa dhana potofu kua walio na elimu ya form six na kuendelea ndio pekee wanaoishi maisha bora. Ukweli huu,
Maisha yetu ya kitanzania mpaka sasa bado hayana mfumo rasimi kuna baadhi ya wasomi wanaishi maisha mazuri baadhi yao wanaishi kwa dhiki ambao ndio wengi. wachache kati ya ambao hawajasoma wanaishi kwa raha na ndio wanao endesha biashara kubwa hapa nchini.
Ushauri katika kutafuta mchumba usiweke kigezo cha elimu pengine wajizibia ridhiki kumpata ambae hajafikia elimu unayo itaka lakini maisha yake na mambo yake safi PESA NI KILA KITU KATIKA MAISHA. SHIKAMOO PESA