Kuna uhusiano gani kati ya mafundi wa nguzo wa Tanesco na matusi?

Hao wajomba wa Tanesco kuna siku walikuja kuweka nguzo mtaan karibu kabisa na hom, nilipowaona tu ikanibid niondoke hom maana bi mkubwa, madogo na mzee walikuwepo hom. Nikaenda mtaa wa pili ila wale wajomba sauti wanazo, niko na wana kule tukawa tunawasikia doooooh!

Kuna makuli wa bandarini plus wazee wa bandari kule pia kuna mafundi magari wa garage local
Nina video yao wanatukana sana naogopa kuiweka hapa maana ban sio kitu kizuri kabisa kwa msimu.
 
Matusi kwa tunavyoyasikia ila kimaana wala hawatoi matusi... Tusi ni mpaka limuume mtu lakini likifurahisha linabaki kuwa msemo tuu.
 
......Onaah!!
hawa washenzi hawana nidham kabisa na sometime ni udhalilishaji , niliona wakati wanapandisha zile nguzo wanaimba kimatako matako msogezeee, akapita dada mmoja na kimini chake wakaanza tena oona oona qumer ile pale ooona oona qumer le palee
 
Mkuu, ukubali ukatae ukweli ndiyo huo. Sehemu zozote ambazo kazi za nguvu zinatawala matusi lazima yawepo. Angalia jeshini, wavuvi, bandarini, migodini nk. Matusi yanaleta ahuweni na morali. Leave them alone.
Mkuu ngoja nikuambie. Sijakataa unachosema. Na kuongezea labda niseme hivi: Sio Tanzania tu ila huu ni utamaduni uliyoko kwenye kila nchi. Hata Ulaya na Marekani uko. Lakini sehemu nyingine matusi huishia huko huko kwenye sehemu za kazi. Hayavuki mpaka na kuingia makazi ya watu. i.e. wakija mafundi nyumbani kwako au wabeba mizigo wanakuwa na heshima kwani wanajua mazingira waliyopo siyo yao bali ni ya mteja. Concern yangu ni pale hawa wa Tanesco wanapohamishia matusi kwenye makazi ya watu. Kuna siku walikuwa wanarekebisha nguzo nyuma ya nyumba niliyopanga na walikuwa wanatuka matusi mazito mpaka ikabidi tukimbie nyumba kwa muda kwa sababu tulikuwa na watoto wadogo wanadadisi kila kitu. Halafu unakuta wanaingilia mpaka uhuru wa wapita njia. ASkipita mwanamke wanaanza kusema matusi yasiyoandikika.
 
Mmewasahau Wapiga debe, Kondktaz na Madereva woooote wa Daaaslam wanatisha kwa matusi
 
na wavuvi nao wanamatusi sana
Hahaha mkuu umenikumbusha kipindi nipo village wakati tunarudi kutoka kuvua usiku mnapiga makasia huku mkiimba nyimbo za matusi, sababu ni usiku halafu mpo ziwani mbali na kijijini, lakini kesho mtaulizwa kwamba mlikuwa mnaimba nyimbo za matusi. Nikakugundua usiku sauti inasafiri kwenda mbali
 
kijana tupe uzooefu wako site za umeme
Hahahaa! Ckumoja walikuja factory kwetu arusha kubadilisha line sasa wakati wanavuta waya wakawa wanaimba hivi " ina wakaaaa wa ina wakawaka sasa mi nikajua ni bi harusi mwisho wakasema mkund inawakawaka. Wakaanza tena inamereeeme wengine wakaitikia inameremeta kum inamereta. Du nkachoka.
 
Back
Top Bottom