wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,795
Video hawa hapa wakisimamisha nguzoView attachment VID_24280821_001858_230.mp4Leo nikiwa nimekaa zangu nje na wakwe mida ya saa 9 jioni kumbe hawa ndungu walikuwa katika harakati zao za kurekebisha nguzo za umeme zilizoanguka kutokana na mvua ya jana.
Bwana weee nilikosa la kufanya mbele wa baba na mama mkwe niliposikia matusi yaliyokuwa yakitolewa na hawa jamaa.
Hawa vijana wanafurumusha matusi kwa njia ya nyimbo,mwisho nikawa nashindwa kuelewa hawa ndugu hayo ndo maadili ya kazi wanayifundishwa mweli.
Jamani TANESCO naombeni mtuambie kama huo ndo utaratibu wa kazi tujue maana huo siyo ustaarabu kabisa.