Kuna uhusiano gani kati ya mafundi wa nguzo wa Tanesco na matusi?

Leo nikiwa nimekaa zangu nje na wakwe mida ya saa 9 jioni kumbe hawa ndungu walikuwa katika harakati zao za kurekebisha nguzo za umeme zilizoanguka kutokana na mvua ya jana.

Bwana weee nilikosa la kufanya mbele wa baba na mama mkwe niliposikia matusi yaliyokuwa yakitolewa na hawa jamaa.
Hawa vijana wanafurumusha matusi kwa njia ya nyimbo,mwisho nikawa nashindwa kuelewa hawa ndugu hayo ndo maadili ya kazi wanayifundishwa mweli.

Jamani TANESCO naombeni mtuambie kama huo ndo utaratibu wa kazi tujue maana huo siyo ustaarabu kabisa.
Vumilia tu,mwesta ,kama unavyopata tabu kuangalia baadhi ya vituo vya luninga wanawake wakinengua nusu uchi,na mkwe pembeni. Ndo utandawazi huo
 
Ha ha ha ha mkuu nawe ulikuwa huko tanesko nini?nimecheka sana
wanaponyanyua nguzo utasikia;
kaza kaza kaza mkund kazaa
wakinyanyua wanaanzisha wimbo mwingine utasikia;
mama ulipanua mapaja kwa baba maskini
ona mwanao naumiaaa ooh naumiaaa
 
Mkuu shughuli yoyote ya kutumia nguvu nyingi kuliko akili lazima iambatane na mitusi ili kutia mzuka
 
Leo nikiwa nimekaa zangu nje na wakwe mida ya saa 9 jioni kumbe hawa ndungu walikuwa katika harakati zao za kurekebisha nguzo za umeme zilizoanguka kutokana na mvua ya jana.

Bwana weee nilikosa la kufanya mbele wa baba na mama mkwe niliposikia matusi yaliyokuwa yakitolewa na hawa jamaa.
Hawa vijana wanafurumusha matusi kwa njia ya nyimbo,mwisho nikawa nashindwa kuelewa hawa ndugu hayo ndo maadili ya kazi wanayifundishwa mweli.

Jamani TANESCO naombeni mtuambie kama huo ndo utaratibu wa kazi tujue maana huo siyo ustaarabu kabisa.
Hizo sio nyimbo za matusi, ni nyimbo za hamasa
 
Back
Top Bottom