Kuna Ubaya Wowote?..

MJ1 hii post umendika saa 00:14 du hivi ndo ulikuwa unazidi kuchanganyikiwa ?

Ni jambo jema na la hekima kumpa mwanaume heshima yake kama kichwa cha familia..na heshima iwepo kati ya wote wawili
FL1 kusoma hujui hata kuangalia picha?obviously mmewe alikuwa hajarudi na bar zishafungwa!
 
nikuulize Lizzy,kila siku mnatusema eti kuna wanaume na kuna wavulana,to put it your way unawaita wavulana wanaovaa suruali za wakubwa,sawa ni haki yenu kutusema maana jf hailipiwi Luku,lakini by the same token ina maana kuna wanawake na wasichana (wanaovaa magauni ya wanawake)? kama jibu ni ndio,nini sifa ya kuwa 'mwanamke' na kuwa 'msichana anayevaa gauni'?

Safi sana bwana Bishanga! You hit it right on the head.

People should know that before they point out any flaws in others, they should take a hard look at themselves first and be satisfied that they don't have the same flaws that they see in others.

Kuna visichana kibao tu vinavyojifanya 'vianamke' halafu viko kimbelembele kunyooshea vidole wengine. Ooh eti f'lani sio 'real man'....girl please...are you a real woman?
 
ndo nshaanza kuijaribu hiyo tena ina raha kweli kama umekutana na kivula utakigundua tu ndani ya mwezi
 
halafu sasa cha ajabu nachokiona
Hata mwananamke awe na pesa na akili kiasi gani
Akipata mwanamme according to her definition of a man
Automatically mwanamme anachukua nafasi yake na mwanamke anachukua nafasi

Wala hamjadili nani awe nafasi gani
Vitu ninafall into places accordingly.

So funny!
Salute Kongosho.

Na katu huwezifikiria juu ya 'kujikabidhi' mazima kwa asostahili kuwa mwanaume!.
 
Safi sana bwana Bishanga! You hit it right on the head.

People should know that before they point out any flaws in others, they should take a hard look at themselves first and be satisfied that they don't have the same flaws that they see in others.

Kuna visichana kibao tu vinavyojifanya 'vianamke' halafu viko kimbelembele kunyooshea vidole wengine. Ooh eti f'lani sio 'real man'....girl please...are you a real woman?
nasubiri waje wajibu hapa na watoe vigezo vya kuitwa 'mwanamke'.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Haha Babu, mie mzima kama kigongo!.

Ah Babu kwani nikitoa ATM na Checque kwa mtu ambaye ananienzi, ananifikisha kunako ananithamini na kunipenda kuna madhara gani?? Tu-assume anakupenda kweli??

Kwa mapenzi hakuna hidden agenda bana......eti nakupenda laaziz nakenua macho kumbe nikikupa mgongo unaona bado

Utayajua mtakapo kwaruzana au kutengana......unajua unaweza kufanya vitu kwa roho moja na mapenzi ya dhati yaani mtoto wa kike ukajituma halafu mwenzio akawa anakuona zuba tuu!hii ndio inauma aisee. I don't like my efforts to be taken for granted, most of us prefer to have a little thanks or some sort of acknowledgement from time to time. Nani hapendi hili jamani?na kwa kufanya hivi ndio mapenzi yanakolea kwani unajua jitihada zako zinazaa matunda.
 
Safi sana bwana Bishanga! You hit it right on the head.

People should know that before they point out any flaws in others, they should take a hard look at themselves first and be satisfied that they don't have the same flaws that they see in others.

Kuna visichana kibao tu vinavyojifanya 'vianamke' halafu viko kimbelembele kunyooshea vidole wengine. Oo

h eti f'lani sio 'real man'....girl please...are you a real woman?
raha ya mwanaumme ni kuwa mpiganaji bwana
familia ikikuangalia wafeel kweli kuna kidume ndani
 
raha ya mwanaumme ni kuwa mpiganaji bwana
familia ikikuangalia wafeel kweli kuna kidume ndani

Na raha ya mwanamke ni utulivu, heshima, na taadhima.

Watu wakimuangalia mkeo au mwanamke wako wanasema 'daah, mchizi pale kweli kapata'. Sio mwanamke uwe mapepe...hujui unachotaka...hujatulia...hodari wa kuona dosari za wenzio ilhali zako huzioni...
 
asante sana....cku hizi wanawake wengi ndio vichwa vya nyumba, sasa kama nasomesha, nalisha, etc uyo mvaa suruali nae ataitwa kichwa cha nyumba just b'coz ni mwanaume?.....au na define vibaya hiyo "kichwa cha nyumba?...mie kwangu kichwa cha nyumba ni mwanaume anaejua wajibu wake, kuanzia kwa mke/watoto wake etc....

Good point...
 
Na raha ya mwanamke ni utulivu, heshima, na taadhima.

Watu wakimuangalia mkeo au mwanamke wako wanasema 'daah, mchizi pale kweli kapata'. Sio mwanamke uwe mapepe...hujui unachotaka...hujatulia...hodari wa kuona dosari za wenzio ilhali zako huzioni...
kweli kabisa
 
Welcome to NY bebi.... Aisee mutu kama nyie mpo wachace sana.. Aisee una akili timamu wala hujachanganyikiwa.
 
Hehehehe ndio hivyo dearest. . .Wengi wana zile leseni za kupeana mtaani kwahiyo hata sheria hawazifahamu.

OT. .
Nakuona unachungulia chungulia tu. . .kazi nyingi?

Ubaya ni kuwa wengi wanajazana ujinga tu siku hizi...unashangaa mtu mzima ana sera za kipuuzi kumbe kazitoa baa na kwa kuwa labda zimetumika kwa mwenzie anazileta na kwake....!
Wiki hii zimepungua dearest ndo maana niko hapa kwa muda wa kutosha>>>> sichungulii bana...we ndo huonekani!
 
nikuulize Lizzy,kila siku mnatusema eti kuna wanaume na kuna wavulana,to put it your way unawaita wavulana wanaovaa suruali za wakubwa,sawa ni haki yenu kutusema maana jf hailipiwi Luku,lakini by the same token ina maana kuna wanawake na wasichana (wanaovaa magauni ya wanawake)? kama jibu ni ndio,nini sifa ya kuwa 'mwanamke' na kuwa 'msichana anayevaa gauni'?

Byshanga. . .
Boss alishawekaga tofauti kati ya wavulana na wanaume. . .
Kuhusu wanawake embu chungulia ile thread ya "Mwanamke kamili" utajua nani mwanamke na nani msichana. Yani iko pande zote. . .hamna kuonea wala kupendelea.
 
Ubaya ni kuwa wengi wanajazana ujinga tu siku hizi...unashangaa mtu mzima ana sera za kipuuzi kumbe kazitoa baa na kwa kuwa labda zimetumika kwa mwenzie anazileta na kwake....!
Wiki hii zimepungua dearest ndo maana niko hapa kwa muda wa kutosha>>>> sichungulii bana...we ndo huonekani!
Hilo nalo lipo sana dearest. Akiambiwa "mi jana nimemchapa mama nanii mabao akatia akili" nae anaenda kufanya praktiko kwake. Hawachanganyi na za kwao. . .wanasomba somba tu.

Mie kauvivu tu nadhani dearest. . .Ila nipo.
 
kwa mfano huyo mwanaume anapokosa/feli kuwa kichwa labda...!

anakuwa kiwili-wili au mkia au miguu ya nyumba????....

...na ikitokea huyo kiwili-wili au mkia akamudu kukufikisha "kunako" (infact sijui ndo wap huko..)...anakuwa "kichwa" in a recessive modality au anaipoteza title ya "kichwa" immidiately?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom