Kuna ubaya wowote kumla mtu safarini?

Kuna ubaya wowote kumla mtu safarini?

Kweli wanawake wamekuwa rahisi,yaani ndani ya dakika chache gegedo linaenda kufanya kazi??? mwisho tutabakwa sisi
Moja wanawake nao ni binadamu, dudu wanazipenda sana tu. Mbili wakiwa mazingira ambayo ni mbali na nyumbani wanajiachia sana; huko mtaani mnaongea sana. Mbona tushapiga sana show za namna hii, unaweza kuta hata majina hawajuani, no strings attached.
 
Jambo.

Mzee wa kasumba nipo safarini naelekea MWANZA natoka MBEYA.

Jirani yangu hapa ni mtoto mkali flani hivi. Uzalendo ukanishinda ikabidi nimtupie swaga. Baada ya mikiki mikiki kidogo hatimaye vocal zikaeleweka.

Sasa basi---_
Magari haya ya MBEYA - MWANAUME huwa yanalala njiani sehemu iitwayo IGUNGA. hapo tumepanga kwenda kubomoana Kisha asubuhi tunaendelea na Safari.

Swali:_ kwa

Wanasayansi/wahenga/waganga/wanajimu/wachungaji nk

Je kuna ubaya wowote kumgegeda mwanamke safarini???

Asanteni.

CC: Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuna mzigo ila itakua muda mchache saa 6usiku mpaka 11 alfajiri.
Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja
 
Jiheshimu,iheshimu na familia yako au mpenzi wako uliye naye. Kwahiyo kila sehemu ukisafiri utakuwa ukikutana na demu mkali uzalendobutakushinfa na kuanza kumtongoza ili umgonge? Sasa hivi maisha yanabana wanawake wengi wanajirahisisha kwa namna mbalimbali. Just be smart. Ridhika na uliye naye. Tulia usimletee magonjwa yasiyo na sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tatizo hasa huwaga ni nini linalofanyaga watu kushindwa kutunza sehemu zao za siri?

Is there any pride people feel in sleeping around? Do they lack conscience?

smdh.
 
Jambo.

Mzee wa kasumba nipo safarini naelekea MWANZA natoka MBEYA.

Jirani yangu hapa ni mtoto mkali flani hivi. Uzalendo ukanishinda ikabidi nimtupie swaga. Baada ya mikiki mikiki kidogo hatimaye vocal zikaeleweka.

Sasa basi---_
Magari haya ya MBEYA - MWANAUME huwa yanalala njiani sehemu iitwayo IGUNGA. hapo tumepanga kwenda kubomoana Kisha asubuhi tunaendelea na Safari.

Swali:_ kwa

Wanasayansi/wahenga/waganga/wanajimu/wachungaji nk

Je kuna ubaya wowote kumgegeda mwanamke safarini???

Asanteni.

CC: Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app

Isikilize nafsi yako.
 
Back
Top Bottom