Kuna ubaya wowote kumla mtu safarini?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Jambo.

Mzee wa kasumba nipo safarini naelekea MWANZA natoka MBEYA.

Jirani yangu hapa ni mtoto mkali flani hivi. Uzalendo ukanishinda ikabidi nimtupie swaga. Baada ya mikiki mikiki kidogo hatimaye vocal zikaeleweka.


Sasa basi---_
Magari haya ya MBEYA - MWANAUME huwa yanalala njiani sehemu iitwayo IGUNGA. hapo tumepanga kwenda kubomoana Kisha asubuhi tunaendelea na Safari.

Swali:_ kwa

Wanasayansi/wahenga/waganga/wanajimu/wachungaji nk

Je kuna ubaya wowote kumgegeda mwanamke safarini???

Asanteni.

CC: Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki wa kweli ni pombe, nunua bapa lako Nenda kacheze nalo hadi kucheeee. Mambo ya kugegedana achana nayo bhana. Spirit of the nation
1544897414963.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom